Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Maswali yangu ni kuhusu Christianity and Islam maana naona una uelewa sana pande hizo.

Furst question: Wapi wanatofautiana kuhusu Mungu, na wapi wanakubaliana kuhusu Mungu.
Waislamu na wakristo wote wanakubaliana kuna Mungu mmoja na Muumbaji..
japo waislamu wanapinga Hoja ya Mungu kugawanyika katka nafsi ya Uungu..
 
Kama issue ni umri basi YUSUFU hakutenda dhambi kwani umri wa kuolewa ni sheria tu zinazotungwa na mmlaka ya nchi husika kwa kuzingatia vigezo mbalimbali, na huo umri unatofautiana nchi na nchi.

Kama Tanzania umri wa kuoa ama kuolewa kisheria ni kuanzia miaka 18... hii sio sheria ya Mungu hivyo haiwezi kua Kigezo kuwa mtu akiwa chini ya huo umri ni mtoto na akiwa juu ya umri ni mtu mzima ukitoka naye ni dhambi.

Lakini pia kibiologia binti anakua kapevukana na yupo tayari kwa uzalianaji akiwa na umri kuanzia 12 na kuendelea (wastani wa miaka 13)

Mambo mengine ni busara tu za wazee ambazo zinashindwa kuingiliana na tamaduni nyingine(walipishana kifikra) hivyo zinashindwa kuendana na wakati hasa nyakati hizi za muingiliano mkubwa wa watu duniani.
 
Kweni kunasehemu biblia imeandika yusufu alitenda dhambi?
 
Tanzania kisheria Umri wa kuoa ni 18 ila umri wa kuolewa ni 15..
 
Ameomba umpe msimamo wa Muislam katika kutoa mimba, yaani uislam unasemaje kuhusu kutoa mimba.
Msimamo wa Waislamu umetofautiana Kwenye Swala la Abortion kuna wanaosema Ni Sawa kama mtoto hajafikisha miezi mitatu na kuna wanaosema si Sawa kutoa Nafsi yoyote..
 
Hatuwezi endesha dunia ya sasa kwa mifumo ya kizamani ya miaka 2000 iliyopita , mwanangu akifika umri huo nikikukuta nae na kushusha hiyo shingo.
Mkuu min,
Unataka kusema mwanao wa kike ukimkuta katika umri huo na mwanaume utaondoa shingo ya mwanaume huyo?
Kwanini ufanye hivyo wakati tumekubaliana kataa ndoa?
 
Yusufu hakula mzigo

Alikua anasubiri binti awe mtu Mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…