Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Mmmh. Ngoja nikuache mkuu, uelewa wako ni mkubwa sana. Asante
Aya ya 17:31 ya Qur'an inasema: "Wala msiue watoto wenu kwa hofu ya umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua wao ni dhambi kubwa." (Qur'an 17:31)
 
Asante mkuu. Kama hujachoka naomba tuendelee

Q4: Mtazamo wa mkristo na mwislamu kuhusu dhambi ukoje. Naoba reference kama ipo
Mkuu Bado sijajua Mantiki ya Maswali yako..
Hebu Jikite kwenye wazo kuu!..

japo nitajibu..
Kwa wakristo Dhambi ni uasi wa Sheria za Mungu..
1 Yohana 3:4

Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.
Whosoever committeth sin transgresseth also the law: for sin is the transgression of the law.

Kwa waislamu Dhambi ni kuasi amri ya Mwenyezi Mungu au kwa maneno mengine ni kufanya jambo ambalo Mwenyezi Mungu amelikataza au kuacha kufanya jambo ambalo imetolewa amri ya kulifanya.. kwenye Uislam kuna Dhambi kubwa na Ndogo
 
Hata wa Leo wanaolewa kwa miaka 14
 
Asante mkuu, nilikuomba nijifunze kupita majibu yako.

Wazo kuu as Ex pastor, uliona nini mpaka ukaamua kuhama from Christianity mpaka uyahudi na wala sio uislam?
 
Mtoto wa miaka 15 hana anachoweza kujisimamia yupo chini ya wazazi .
lakini hakulazimishwa.

yupo chini ya wazazi kwa maana gani wakati tunapaswa kukataa ndoa?
Niliwahi kuuliza humu yupo baba anayeruhusu mtoto wake wakike azalishwe na aje kutupiwa mzigo? Wanaume wote walikataa japo mtoto anaweza kufanya hivyo.

Swali, kama hakuna mwanaume anayekubali na wewe unasisitiza ndoa haipaswi. Huoni bado unajipinga mwenyewe?

Sijui kama umeelewa pointi hapo?
 
Historia ya kanisa bado huijui kuklux clan ni siasa
Unachanganya mada
Wakristo waliuliwa na makaizari kutaja kuifuta ukristo duniani
Walio fanya kazi hio ni kaizari:
Nero
Domitian
Pompe na wengine
Ni kaizari Cesare aliekomesha manyanyasho kwa wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…