min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Et hakula mzigo 😁😁😁😁Yusufu hakula mzigo
Alikua anasubiri binti awe mtu Mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Et hakula mzigo 😁😁😁😁Yusufu hakula mzigo
Alikua anasubiri binti awe mtu Mzima
Aya ya 17:31 ya Qur'an inasema: "Wala msiue watoto wenu kwa hofu ya umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua wao ni dhambi kubwa." (Qur'an 17:31)Mmmh. Ngoja nikuache mkuu, uelewa wako ni mkubwa sana. Asante
You dont believe your self?. I appreciated for your answers nothing more chief.Sarcasm🤪🤪🤪
Dini unayoiamini leo 2024 ina miaka mingapi?Hatuwezi endesha dunia ya sasa kwa mifumo ya kizamani ya miaka 2000 iliyopita , mwanangu akifika umri huo nikikukuta nae na kushusha hiyo shingo.
Binafsi sina diniDini unayoiamini leo 2024 ina miaka mingapi?
💯You dont believe your self?. I appreciated for your answers nothing more chief.
Hukunipa sababu ya kutokuwa na dini.Binafsi sina dini
Mkuu Bado sijajua Mantiki ya Maswali yako..Asante mkuu. Kama hujachoka naomba tuendelee
Q4: Mtazamo wa mkristo na mwislamu kuhusu dhambi ukoje. Naoba reference kama ipo
Hata wa Leo wanaolewa kwa miaka 14Kama issue ni umri basi YUSUFU hakutenda dhambi kwani umri wa kuolewa ni sheria tu zinazotungwa na mmlaka ya nchi husika kwa kuzingatia vigezo mbalimbali, na huo umri unatofautiana nchi na nchi.
Kama Tanzania umri wa kuoa ama kuolewa kisheria ni kuanzia miaka 18... hii sio sheria ya Mungu hivyo haiwezi kua Kigezo kuwa mtu akiwa chini ya huo umri ni mtoto na akiwa juu ya umri ni mtu mzima ukitoka naye ni dhambi.
Lakini pia kibiologia binti anakua kapevukana na yupo tayari kwa uzalianaji akiwa na umri kuanzia 12 na kuendelea (wastani wa miaka 13)
Mambo mengine ni busara tu za wazee ambazo zinashindwa kuingiliana na tamaduni nyingine(walipishana kifikra) hivyo zinashindwa kuendana na wakati hasa nyakati hizi za muingiliano mkubwa wa watu duniani.
Kwanini umkate shingo mwanaume?Naangalia sehemu ambapo kataa ndoa inaingia kwenye hayo maoni yangu sioni mkuu🙄🙄
Kwangu mimi sioni faida ya dini kama ninajitambua.Hukunipa sababu ya kutokuwa na dini.
Asante mkuu, nilikuomba nijifunze kupita majibu yako.Mkuu Bado sijajua Mantiki ya Maswali yako..
Hebu Jikite kwenye wazo kuu!..
japo nitajibu..
Kwa wakristo Dhambi ni uasi wa Sheria za Mungu..
1 Yohana 3:4
Kila atendaye dhambi, afanya uasi; kwa kuwa dhambi ni uasi.
Whosoever committeth sin transgresseth also the law: for sin is the transgression of the law.
Kwa waislamu Dhambi ni kuasi amri ya Mwenyezi Mungu au kwa maneno mengine ni kufanya jambo ambalo Mwenyezi Mungu amelikataza au kuacha kufanya jambo ambalo imetolewa amri ya kulifanya.. kwenye Uislam kuna Dhambi kubwa na Ndogo
Mtoto wa miaka 15 hana anachoweza kujisimamia yupo chini ya wazazi .Kwanini umkate shingo mwanaume?
Kwani atakua amemlazimisha binti?
Unaamini kuhusu uwepo wa Mungu!?Kwangu mimi sioni faida ya dini kama ninajitambua.
Anataka apewe dalili zipi ili aamini kama mungu yupo?Kiranga hana shida, yeye anataka ahakikishiwe uwepo wa Mungu ili na yeye aamini, msaidie kwa kutumia imani yako sio kumfukuza.
lakini hakulazimishwa.Mtoto wa miaka 15 hana anachoweza kujisimamia yupo chini ya wazazi .
Historia ya kanisa bado huijui kuklux clan ni siasaHii sentensi ina uongo kwa 100% Jaman someni Historia ya Dini zenu kabla ya kucoments..
Ukristo umeua watu wengi sana..
Kuna Watu wamepoteza maisha Ulaya,Marekani na sehemu nyingi kwa ajili ya Kujinasibu kueneza ukristo kuna Crusade nyingi zimefanyika..
Kuna makundi mengi ya Kigaidi ya kikristo yalizuka kwenye historia bila kuwasahau Klux
Sitaki kuamini, nataka kujua.
BUSH BIN LADEN maswali yake hayo hapoSitaki kuamini, nataka kujua.
Nataka maelezo kwamba Mungu yupo, yenye:-
1. Proof that is logically consistent.
2. Proof that is non contradictable.
Is that too much to ask for?