Leo naweka 'Utani' wangu pembeni kabisa na naomba wana Simba SC Wenzangu 'Mnisamehe' ila kwa huyu Michael Sarpong Kazi ipo Kwetu na Tuisila abadilike

Wewe unaongea nini? Sasa kwa unavyoona kiwango cha morrison bado ni kilekile alichotokan nacho uto?
Eti naongea sasa...sasa si uelezee wewe kiwango chake kimekuaje...au ukisijisikia kubisha unadakia yeyote ile bila kuelewa?
 

Kama kawaida yenu mtakuwa mmempa mkataba ya miezi 6.Tunajua na mishahara mtashindwa kumlipa baada ya miezi 6 ataungana na Morrison kwa wekundu
 
Hapana...Prison ya msimu huu ni Ndanda
hovyooooooo

sasa ndio nini,alafu wewe ndio wa kwanza kuwaambia wenzako wajadili kwa hoja !hivi unajua kuwa prison wamebadili mpaka kocha?unatoa hoja za kijinga kabisa za msimu uliopita,kama ndio hivyo basi Simba kashakuwa bingwa apewe kombe?amka wewe huu msimu mwingine usilete ujuaji,unaweza shangaa hii simba ikashika nafasi ya tano na hiyo prison ikashuka daraja..kwahiyo unavyofikiri wewe kila msimu timu inakuwa na kiwango na ubora uleule?shbmt
 
Eti naongea sasa...sasa si uelezee wewe kiwango chake kimekuaje...au ukisijisikia kubisha unadakia yeyote ile bila kuelewa?
kwani kila anayetoa maoni yake ni mbishi?usiforce tufanane fikra jaribu kuheshimu mawazo ya wengine,toka katika box ulilojifungia uone ya duniani,
wewe ni wa kupuuzwa,
 
Nimechelewa kuiona thread yako, lakini nasema wazi sasa umekuwa mchambuzi mahiri kuliko awali ulivyokuwa shabiki mahiri. Nawapenda watu wanaosema ukweli bila kujali upande. Ulichoeleza ni ukweli usiopingika, ila kuna watu nilijua ni wachambuzi kumbe ni mashabiki tu.
 
kwani kila anayetoa maoni yake ni mbishi?usiforce tufanane fikra jaribu kuheshimu mawazo ya wengine,toka katika box ulilojifungia uone ya duniani,
wewe ni wa kupuuzwa,
Jitafakari ndugu...haiwezekani mtu anajadili hoja...unam quote then unajibu like anyhow...jenga hoja kinyume chake unakua mbishi tu usiye na uelewa...Sema kwanini Prison hii siyo ya mwaka jana...au Morison kashuka kiwango(how?)...siyo unapinga tu bila kujenga hoja as if una comment kwenye group au page za fb...unajibiwa upuuzi kutokana na upuuzi unaouonyesha..ukijenga hoja utajibiwa kwa hoja...as ukinikuta Paris huwa nabonga tu French...sorry!
 
anza kujitafakari wewe kwanza,maana kama ungekuwa vizuri kichwani ungeshanielewa niliposema kuwa Prison hii ya sasa tofauti na ile ya msimu uliopita,(maana yangu ilikuwa ni kwamba wamebadili kocha na baadhi ya wachezaji pia,sasa timu inapopita katika hiyo hatua kuna mambo mawili, iendeleze pale ilipoishia au irudi nyuma kidogo)
na niliposema Morrison huyu aliye Simba sasa kiwango chake ni tofauti na alichokionesha akiwa yanga
nimem-judge kwa kuangalia perfomance yake uwanjani kwa mechi alizocheza),kipi ambacho hujakielewa hapo?
halafu suala lingine hii tabia ya kupenda wengine wafikirie kile unachofikiria wewe ni tabia inayokaa kwa mpumbavu, jaribu kuwa na uvumilivu maana watu tumetofautiana maono na upeo, leo hii akija mtu akikwambia jezi ya yanga sio ya njano usikimbilie kuropokaropoka ni vema ukauliza ni kwanini sio ya njano ili upewe sababu ambazo zinaweza kuwa na faida kwako,(huo ni mfano tu)
kwasababu mtoa mada katoa mawazo kwa yeye jinsi anavyoona na mimi nimejaribu kutoa mawazo yangu kwenye maoni na sababu nimetoa zipo wazi kabisa, nimetolea mfano kina Lamine Moro,Sadney Urikhob,Ibra Ajib,Gadiel Michael hawa wote kwa pamoja wamecheza hizi timu mbili hivi karibuni na wakiwa Simba wameonekana wana viwango vya wastani ila kule Yanga wanaonekana ni moto, sasa kama wote tukifanana fikra unafikiri hili jukwaa litakuwa la kazi gani?
kwa ulivyomalizia hapo unaonekana kabisa ni mtu wa aina gani!huna tofauti na wale wa... wa uswazi wanaopenda kuhemkwahemkwa bila sababu,sijaona hoja yako ya msingi ..............

wewe ni wa kupuuzwa.
 
kwa hoja yako hiyo ngona nikupe mifano Philipe Coutihno wa luverpool na timu ya taifa ya brazil siyo huyu wa barcelona, au griezman wa atletico madrid na france siyo huyu wa barcelona na messi wa barcelona siyo messi wa argentina nafikir umenielewa kuna kitu kinaitwa mfumo wa timu kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji fulani wang'ae sana na kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji wote waonekane wana viwango vinavyoshabihiana
 
sawa,ngoja tuone itakavyokuwa mkuu........
 
Umeiona Prison uwanjani? Inatofauti na Prison ya mwaka Jana? Kama tofauti ipo onyesha utofauti wao...ukiachana na Kocha sijui kabadilika sijui wachezaji wametoka...maana unachosema kuwa timu huwa zinapitia wakati gani sijui sikibadili kocha na wachezaji ni maoni tu...Tafadhali naomba ujadili facts.

Kuhusu Morison mi naona anafunga kama kawaida...ana dribble kama kawaida na ana assist mipira tu ndo ameacha kupanda....kifupi Morison ni moto kama kawaida japo hakuwa bora kwenye kila mechi na mchezaji wao bora wa msimu ni Fei Toto sasa sijui wewe ukawaida wake unauangalia kwa muktadha gani labda utueleze.

Sijakulazimisha uamini ninachokiamini...nimekwambia ukinipinga jenga hoja la sivyo nitakupuuza tu...

Kama umeamua kujenga hoja jenga hoja achana na personal attacks... nilikukumbusha tu neno uliloliandika pale halikua mahala pake...ukini attack personally ntakukumbusha hata kama utaniona na tabia za kiswazi na mihemuko...kama mada imekua ngumu, you have a right to remain silent please!
 
Kelevra na DullyJr mbona hatuwaelewi? Mnachobishania ni nini? Kwani kila Mtu akibakia tu na 'Mtizamo' wake atakufa au ataonekana ni Popoma?
mkuu, mimi mwenyewe simwelewi huyo jamaa ,maana mimi nimetoa maoni yangu tu lakini hata alipokurupukia na kuanza kuni-attack sijui,
wewe umetoa mawazo yako mimi sijakataa bali nimetoa mawazo yangu kwa vile ninavyoona(sidhani kama ni kosa kufanya hivyo),

analalamikia hapa personal attack, anasahau kabisa kuwa yeye ndio wa kwanza kutumia lugha mbovu, inaonekana ana tatizo la kusahau kitu alichokifanya dakika 5 zilizopita,
yote ya yote sina shida naye na sijawahi kuwa na shida naye....ila ninachomshauri ajitahidi kuwa mvumilivu kusikia au kuona asichopenda, hii ni nchi huru na hili ni jukwaa huru,mbona wewe uliyeanzisha huu uzi hukukasirika,
nikuahidi tu mkuu hutoona namjibu tena huyo jamaa,
 

Barida!
 
hii yanga haina tofauti na ya msimu uliopita,naamini kabisa hawa wachezaji watarudi makwao mmoja mmoja huu msimu hawamalizi,
Sarpong alishamalizana na Simba SC ni suala la muda tu,Zawadi Mauya nae kashamalizana na Azam ila msimu ujao ndio atajiunga na waoka mikate
 
Hahahaha...... Naona unajifariji
Et washamalizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…