Kelevra
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 1,053
- 2,010
Hapana...Prison ya msimu huu ni NdandaUsilete stori za msimu uliopita, sasa prison ya msimu ule ndio hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana...Prison ya msimu huu ni NdandaUsilete stori za msimu uliopita, sasa prison ya msimu ule ndio hii?
Eti naongea sasa...sasa si uelezee wewe kiwango chake kimekuaje...au ukisijisikia kubisha unadakia yeyote ile bila kuelewa?Wewe unaongea nini? Sasa kwa unavyoona kiwango cha morrison bado ni kilekile alichotokan nacho uto?
Michael Sarpong
Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya nyuma kama Beki wa Kulia, Namba Nne na Kiungo wa Chini ( Namba Sita ) leo nitayasema machache ila yenye Umuhimu juu ya huyu Mchezaji.
Huyu Mchezaji ana yafuatayo mazuri tupu....
Ni Mpambanaji muda wote awapo Uwanjani
Ni Mwenye Uroho na Goli ( Goal Poacher )
Ni mwenye Kujiamini muda wote
Ni mwenye Uwezo mkubwa sana wa Kumiliki mpira
Ni mwenye Kupiga Pasi zenye Tija kwa Timu
Ni mwenye Nguvu za Kutosha
Ni mwenye kutumia vizuri uwezo wake wa Kichwa na Miguu katika Kufunga
Pongezi zangu nyingi sana kwa Uongozi wa Watani zangu wakubwa Yanga SC kwa 'Kumsajili' huyu Mshambuliaji kwani pamoja na kwamba GENTAMYCINE ni Simba SC 'lia lia' kabisa Kwangu Mimi nadhani huyu Mchezaji kwa Kushiriki Kwetu Mashindano makubwa basi huenda ndiyo angetufaa kwa 100% kuliko huyu Mshambuliaji wetu Chris Mugalu tuliyemtoa nchini Zambia.
Na nawaonya mapema sana 'Mabeki' wa Timu zote za Ligi Kuu kuwa kama hawatamuundia 'Kamati' ya 'Roho Mbaya' ya 'Kumdhibiti' asilete 'Madhara' Kwao GENTAMYCINE natabiri mapema leo hii kuwa huenda Mshambuliaji huyu wa Yanga SC Michae Sarpong akaja Kufunga Goli / Bao hata 50 ( Hamsini ) kwa Msimu huu na Kuvunja hadi Rekodi inayoshikiliwa na aliyewahi kuwa Mshambuliaji wa Yanga SC Mohammed Hussein 'Mmachinga' na niseme tu kuwa hapa Yanga SC imelamba 'Dume' hasa.
Tuisila Kisinda
Kama kuna Mchezaji ambaye nina uhakika anaenda 'Kuwakera' na 'atawakera' mapema tu wana Yanga SC endapo tu 'hatobadilika' upesi ni huyu. Nikiri tu hapa kuwa huyu Tuisila Kisinda ni Bernard Morrison ndani ya Yanga SC na naweza Kudiriki kusema hapa kuwa amemzidi vitu kadhaa muhimu Mchezaji wangu wa Simba SC Bernard Morrison na hili wala halihitaji Mjadala.
Kitu pekee tu ambacho kinaenda 'Kummaliza' huyu Kijana wa Kikongo Tuisila Kisinda ni Makosa yake ya Kitoto ( Schoolboy Mistakes) pia ameshalewa 'Sifa' tayari, anataka Kuutafuta kwa haraka sana 'Ufalme' ndani ya Kikosi cha Yanga SC, ni Mchoyo ( Mbinafsi ) na kibaya zaidi anapenda mno Kucheza na Jukwaa na hata Nidhamu yake pia sidhani kama iko vyema ukianza tu Kuangalia jinsi ambavyo hupenda Kuvalia Jezi kwa Kuzikunja na huku Bukta yake nayo akiikunja ikiashiria kuwa huenda ama ana 'Ushamba' au amekulia katika 'Mazingira' ya 'Kiuswahili' sana huko Kwao Congo DR.
Kama si ule 'Upuuzi' wake alioufanya Jana pale Uwanjani nina uhakika ile Mechi Yanga SC ingeibuka 'Mshindi' tena kwa Goli / Bao nyingi sana kwani Tuisila Kisinda alikuwa anaingia kabisa katika eneo la Hatari la Wapinzani na kutakiwa kutoa tu Pasi ya mwisho kwa Wenzake ili wafunge Yeye hakuwa akifanya hivyo na badala yale alitaka asifiwe tu Yeye kama Yeye na siyo Yanga kama Timu.
Angalau sasa kwa Msimu huu Simba SC tutapata 'Upinzani' wa kweli kutoka kwa Yanga SC na tuwe nao 'Makini' kwani sasa nao ni Wazuri sana tu.
hovyoooooooHapana...Prison ya msimu huu ni Ndanda
kwani kila anayetoa maoni yake ni mbishi?usiforce tufanane fikra jaribu kuheshimu mawazo ya wengine,toka katika box ulilojifungia uone ya duniani,Eti naongea sasa...sasa si uelezee wewe kiwango chake kimekuaje...au ukisijisikia kubisha unadakia yeyote ile bila kuelewa?
Nimechelewa kuiona thread yako, lakini nasema wazi sasa umekuwa mchambuzi mahiri kuliko awali ulivyokuwa shabiki mahiri. Nawapenda watu wanaosema ukweli bila kujali upande. Ulichoeleza ni ukweli usiopingika, ila kuna watu nilijua ni wachambuzi kumbe ni mashabiki tu.Michael Sarpong
Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya nyuma kama Beki wa Kulia, Namba Nne na Kiungo wa Chini ( Namba Sita ) leo nitayasema machache ila yenye Umuhimu juu ya huyu Mchezaji.
Huyu Mchezaji ana yafuatayo mazuri tupu....
Ni Mpambanaji muda wote awapo Uwanjani
Ni Mwenye Uroho na Goli ( Goal Poacher )
Ni mwenye Kujiamini muda wote
Ni mwenye Uwezo mkubwa sana wa Kumiliki mpira
Ni mwenye Kupiga Pasi zenye Tija kwa Timu
Ni mwenye Nguvu za Kutosha
Ni mwenye kutumia vizuri uwezo wake wa Kichwa na Miguu katika Kufunga
Pongezi zangu nyingi sana kwa Uongozi wa Watani zangu wakubwa Yanga SC kwa 'Kumsajili' huyu Mshambuliaji kwani pamoja na kwamba GENTAMYCINE ni Simba SC 'lia lia' kabisa Kwangu Mimi nadhani huyu Mchezaji kwa Kushiriki Kwetu Mashindano makubwa basi huenda ndiyo angetufaa kwa 100% kuliko huyu Mshambuliaji wetu Chris Mugalu tuliyemtoa nchini Zambia.
Na nawaonya mapema sana 'Mabeki' wa Timu zote za Ligi Kuu kuwa kama hawatamuundia 'Kamati' ya 'Roho Mbaya' ya 'Kumdhibiti' asilete 'Madhara' Kwao GENTAMYCINE natabiri mapema leo hii kuwa huenda Mshambuliaji huyu wa Yanga SC Michae Sarpong akaja Kufunga Goli / Bao hata 50 ( Hamsini ) kwa Msimu huu na Kuvunja hadi Rekodi inayoshikiliwa na aliyewahi kuwa Mshambuliaji wa Yanga SC Mohammed Hussein 'Mmachinga' na niseme tu kuwa hapa Yanga SC imelamba 'Dume' hasa.
Tuisila Kisinda
Kama kuna Mchezaji ambaye nina uhakika anaenda 'Kuwakera' na 'atawakera' mapema tu wana Yanga SC endapo tu 'hatobadilika' upesi ni huyu. Nikiri tu hapa kuwa huyu Tuisila Kisinda ni Bernard Morrison ndani ya Yanga SC na naweza Kudiriki kusema hapa kuwa amemzidi vitu kadhaa muhimu Mchezaji wangu wa Simba SC Bernard Morrison na hili wala halihitaji Mjadala.
Kitu pekee tu ambacho kinaenda 'Kummaliza' huyu Kijana wa Kikongo Tuisila Kisinda ni Makosa yake ya Kitoto ( Schoolboy Mistakes) pia ameshalewa 'Sifa' tayari, anataka Kuutafuta kwa haraka sana 'Ufalme' ndani ya Kikosi cha Yanga SC, ni Mchoyo ( Mbinafsi ) na kibaya zaidi anapenda mno Kucheza na Jukwaa na hata Nidhamu yake pia sidhani kama iko vyema ukianza tu Kuangalia jinsi ambavyo hupenda Kuvalia Jezi kwa Kuzikunja na huku Bukta yake nayo akiikunja ikiashiria kuwa huenda ama ana 'Ushamba' au amekulia katika 'Mazingira' ya 'Kiuswahili' sana huko Kwao Congo DR.
Kama si ule 'Upuuzi' wake alioufanya Jana pale Uwanjani nina uhakika ile Mechi Yanga SC ingeibuka 'Mshindi' tena kwa Goli / Bao nyingi sana kwani Tuisila Kisinda alikuwa anaingia kabisa katika eneo la Hatari la Wapinzani na kutakiwa kutoa tu Pasi ya mwisho kwa Wenzake ili wafunge Yeye hakuwa akifanya hivyo na badala yale alitaka asifiwe tu Yeye kama Yeye na siyo Yanga kama Timu.
Angalau sasa kwa Msimu huu Simba SC tutapata 'Upinzani' wa kweli kutoka kwa Yanga SC na tuwe nao 'Makini' kwani sasa nao ni Wazuri sana tu.
Jitafakari ndugu...haiwezekani mtu anajadili hoja...unam quote then unajibu like anyhow...jenga hoja kinyume chake unakua mbishi tu usiye na uelewa...Sema kwanini Prison hii siyo ya mwaka jana...au Morison kashuka kiwango(how?)...siyo unapinga tu bila kujenga hoja as if una comment kwenye group au page za fb...unajibiwa upuuzi kutokana na upuuzi unaouonyesha..ukijenga hoja utajibiwa kwa hoja...as ukinikuta Paris huwa nabonga tu French...sorry!kwani kila anayetoa maoni yake ni mbishi?usiforce tufanane fikra jaribu kuheshimu mawazo ya wengine,toka katika box ulilojifungia uone ya duniani,
wewe ni wa kupuuzwa,
anza kujitafakari wewe kwanza,maana kama ungekuwa vizuri kichwani ungeshanielewa niliposema kuwa Prison hii ya sasa tofauti na ile ya msimu uliopita,(maana yangu ilikuwa ni kwamba wamebadili kocha na baadhi ya wachezaji pia,sasa timu inapopita katika hiyo hatua kuna mambo mawili, iendeleze pale ilipoishia au irudi nyuma kidogo)Jitafakari ndugu...haiwezekani mtu anajadili hoja...unam quote then unajibu like anyhow...jenga hoja kinyume chake unakua mbishi tu usiye na uelewa...Sema kwanini Prison hii siyo ya mwaka jana...au Morison kashuka kiwango(how?)...siyo unapinga tu bila kujenga hoja as if una comment kwenye group au page za fb...unajibiwa upuuzi kutokana na upuuzi unaouonyesha..ukijenga hoja utajibiwa kwa hoja...as ukinikuta Paris huwa nabonga tu French...sorry!
kwa hoja yako hiyo ngona nikupe mifano Philipe Coutihno wa luverpool na timu ya taifa ya brazil siyo huyu wa barcelona, au griezman wa atletico madrid na france siyo huyu wa barcelona na messi wa barcelona siyo messi wa argentina nafikir umenielewa kuna kitu kinaitwa mfumo wa timu kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji fulani wang'ae sana na kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji wote waonekane wana viwango vinavyoshabihianaKwani huyo sarponho jana hakuwepo? Hata ajib aliyokuwa yanga alikuwa mkali sana il@ huku simba amekuwa average,
Gadiel alikuwa hatari kule uto ila huku simba amekuwa average,mifano ni mingi sadney, lamine nk
Kama hujui hata ukimchukua ndemla umpeleke pale uto lazma atakuwa mfalme pale, yaani sawasawa udondoshe silva katika mkaa, pale simba sc kuna rundo la wachezaji bora.
sawa,ngoja tuone itakavyokuwa mkuu........kwa hoja yako hiyo ngona nikupe mifano Philipe Coutihno wa luverpool na timu ya taifa ya brazil siyo huyu wa barcelona, au griezman wa atletico madrid na france siyo huyu wa barcelona na messi wa barcelona siyo messi wa argentina nafikir umenielewa kuna kitu kinaitwa mfumo wa timu kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji fulani wang'ae sana na kuna timu zinajengwa kufanya wachezaji wote waonekane wana viwango vinavyoshabihiana
Umeiona Prison uwanjani? Inatofauti na Prison ya mwaka Jana? Kama tofauti ipo onyesha utofauti wao...ukiachana na Kocha sijui kabadilika sijui wachezaji wametoka...maana unachosema kuwa timu huwa zinapitia wakati gani sijui sikibadili kocha na wachezaji ni maoni tu...Tafadhali naomba ujadili facts.anza kujitafakari wewe kwanza,maana kama ungekuwa vizuri kichwani ungeshanielewa niliposema kuwa Prison hii ya sasa tofauti na ile ya msimu uliopita,(maana yangu ilikuwa ni kwamba wamebadili kocha na baadhi ya wachezaji pia,sasa timu inapopita katika hiyo hatua kuna mambo mawili, iendeleze pale ilipoishia au irudi nyuma kidogo)
na niliposema Morrison huyu aliye Simba sasa kiwango chake ni tofauti na alichokionesha akiwa yanga
nimem-judge kwa kuangalia perfomance yake uwanjani kwa mechi alizocheza),kipi ambacho hujakielewa hapo?
halafu suala lingine hii tabia ya kupenda wengine wafikirie kile unachofikiria wewe ni tabia inayokaa kwa mpumbavu, jaribu kuwa na uvumilivu maana watu tumetofautiana maono na upeo, leo hii akija mtu akikwambia jezi ya yanga sio ya njano usikimbilie kuropokaropoka ni vema ukauliza ni kwanini sio ya njano ili upewe sababu ambazo zinaweza kuwa na faida kwako,(huo ni mfano tu)
kwasababu mtoa mada katoa mawazo kwa yeye jinsi anavyoona na mimi nimejaribu kutoa mawazo yangu kwenye maoni na sababu nimetoa zipo wazi kabisa, nimetolea mfano kina Lamine Moro,Sadney Urikhob,Ibra Ajib,Gadiel Michael hawa wote kwa pamoja wamecheza hizi timu mbili hivi karibuni na wakiwa Simba wameonekana wana viwango vya wastani ila kule Yanga wanaonekana ni moto, sasa kama wote tukifanana fikra unafikiri hili jukwaa litakuwa la kazi gani?
kwa ulivyomalizia hapo unaonekana kabisa ni mtu wa aina gani!huna tofauti na wale wa... wa uswazi wanaopenda kuhemkwahemkwa bila sababu,sijaona hoja yako ya msingi ..............
wewe ni wa kupuuzwa.
mkuu, mimi mwenyewe simwelewi huyo jamaa ,maana mimi nimetoa maoni yangu tu lakini hata alipokurupukia na kuanza kuni-attack sijui,
mkuu, mimi mwenyewe simwelewi huyo jamaa ,maana mimi nimetoa maoni yangu tu lakini hata alipokurupukia na kuanza kuni-attack sijui,
wewe umetoa mawazo yako mimi sijakataa bali nimetoa mawazo yangu kwa vile ninavyoona(sidhani kama ni kosa kufanya hivyo),
analalamikia hapa personal attack, anasahau kabisa kuwa yeye ndio wa kwanza kutumia lugha mbovu, inaonekana ana tatizo la kusahau kitu alichokifanya dakika 5 zilizopita,
yote ya yote sina shida naye na sijawahi kuwa na shida naye....ila ninachomshauri ajitahidi kuwa mvumilivu kusikia au kuona asichopenda, hii ni nchi huru na hili ni jukwaa huru,mbona wewe uliyeanzisha huu uzi hukukasirika,
nikuahidi tu mkuu hutoona namjibu tena huyo jamaa,
Hahahaha...... Naona unajifarijihii yanga haina tofauti na ya msimu uliopita,naamini kabisa hawa wachezaji watarudi makwao mmoja mmoja huu msimu hawamalizi,
Sarpong alishamalizana na Simba SC ni suala la muda tu,Zawadi Mauya nae kashamalizana na Azam ila msimu ujao ndio atajiunga na waoka mikate
Ulichangia tsh ngapi mpaka useme umepigwa?Hii Yanga tumepigwa mchana kweupe hakuna team bali ni genge la wahuni
Inajulikana ww ni mshabiki wa vikongwe fcHii Yanga tumepigwa mchana kweupe hakuna team bali ni genge la wahuni