Leo nayatoa ya moyoni

Du! ...naona kama nasoma hadithi hivi......hawa wachumba ni hatari kwelikweli....je kisa ndio kiimeishia hapa au unavuta pumzi tena kwa dk 26 hivi kisha utumalizie ...tuchanganue?
Niimalizia mkuu, nadhani sikuiweka kama editing, niliendelea baada ya comments kibao
 
Mkuu....
Kumbe nawe ni boonge la muelewa aiseeee..... maana nilizoea kuona ukijitoa ufaham tu na yule popoma..[emoji13] [emoji13]
 
Pole mkuu kwa kisanga hiki..Huyu NG hadi leo bado anakinyongo na ww? au ulimueleza akaelewa kuwa hauhusiki na hayo mapichamapicha yanayoendelea?
Hajawahi kua na kinyongi cha wazi na mimi, anaonekana kua mstaarabu sana.
Ingawa amekua akinitamkia mara kadhaa kwamba ananichukia kwasababu nimemsababishia maumivu ya akili, kwa familia, wanawe pamoja na jamii
 
Kama akili hazimtoshi atakuja tu..
Jf kichaka aisee..Huko Pm kuna matukio ya hatari...Unaweza kutengeneza movies za kutosha..
Yule ni chizi aiseeee.....
Kwasababu kwa jinsi alivyo weza kucheza na akili za watu kwa weledi, anaweza akakuja tu na sinto mshangaa.
Mkuu, nimekua nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wengi humu jf wakinitaka kujua kulikoni, na nimekua nikiwajibu kwa mkato sana kwamba sijawa na utayari wa kulisemea hili.
Na sikua na nia ya kulisemea hili kabisa kwa upande wangu ni moja ya changamoto katika mahusiano.
Kilicho nileta hapa ni kwasababu ya huyu X kumchafua NG to the maximum, kiukweli naona kabisa X akimnyanyasa NG kwa ukatili mkubwa tena mbaya ameingia hata kwenye mambo ya kiimani na kumvunja mwenzie kwa kubonda kwa mawe ilhali hata yeye X akiwa ni mchafu alie kithiri.
Agghhhh...
 
hili neno zuri sana..watu wapite na walielewe...too bad wanaume jf mnaongoza kwa umbea umbea huko pm...mwanaume unatulia unakaa kusikiliza umbea wa watu utamu kolea ngoja na we usikie stori yako ya kupikwa
 
Acha tu rafiki nilijionea mwenyewe sema na mimi ubishi wangu mana alikuwa akinambia utauweza mziki wangu ila nikawa najua ni changamsha Genge labda anayaweza sana kumbe anaongelea umri...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka aisee hatari sana
 
kwani watu wa JF wanatoka Sodoma.Hapa ni changanyikeni kama ilivyo mitaani tu.Unaweza kuta ndugu zako wote wapo hapa....
 
kwani watu wa JF wanatoka Sodoma.Hapa ni changanyikeni kama ilivyo mitaani tu.Unaweza kuta ndugu zako wote wapo hapa....
Mkuu...
Nimekua nikishangaa watu wanaposema watu wa jf....
Ninaamini kwamba hawa waliomo jf ndio hao tulionao huku mitaani, tofauti ni kwamba mitaa tunafahamiana physically na hapa jf ni fake.
Ivo
 
asante kwa kuniwakilisha..huyu x mkorofi sana....anatuletea matatizo wengine,teh NG pole mwaya
 
Huyo Diva nae siku yake yaja,na hizo filters basi anajiona mreeeembo.
Alikuwa cheusi kama Lupita Nyongo.
DaJane huyu nae akae kwenye list ya kutumbuliwa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] da jane homa ya jiji mpaka wa kichwapanziii kafika...jf naingia kwa manati vipi lulu mshamsulubisha au da jane ndio anajipanga?
 
pole Mkuu Ushimen bila shaka ndo uliekua Ushiboy, ila na ww ulizidi ww MTU ana watt wa2 ulikua unampeleka wap? io ni too scraper kwako
 
hahaha amuaàaaaaaaaaaaaaa
 
ngoja niku-pm tuangalie km tutaweza kumbatoana.
 
kwani watu wa JF wanatoka Sodoma.Hapa ni changanyikeni kama ilivyo mitaani tu.Unaweza kuta ndugu zako wote wapo hapa....
naamaanisha kuwa yaam ujue mtu yuko jf afu ujirahisishe hadi hayo mambo? Yaan bora mkutane mitaan ila sio mitandaoni loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…