Jamani,baada ya kuusoma huu uzi kwa utulivu wa hali ya juu na kuutafakari kulikotuka.....
Naomba nami nitoe yangu ya moyoni.
Kwanza nianze na wewe X,umetuvua nguo wanawake wenzio mama,tena hasa sisi tulio na wapenzi wetu huku JF ndio tumebaki uchi haswaaaa!
Umalaya huo umalaya gani?
Hivi unatumia pesa za mwanaume wako wa wakati huo unaenda kuchukulia sijui kupanga hotel na kulala na the so called X wako?
Hivi kwanini huwa hamuwezi kuachana na wanaume zenu moja kwa moja?
Huku unataka,huku unataka....
Ona sasa umelipiga bakuli la dhahabu teke unabaki unajiliza liza.
Mbaya zaidi umepigwa picha ya uchi ukiwa 'on top!'
Uwiiiiiii
Nifah mimi ningekufa jamani!
Ushimen una moyo sana,hongera.
Halafu unaonekana malaya uliyekubuhu maana una watoto na kila mwanaume!
Una waume wangapi mama?Maana kuna sehemu katika story nimeona "mume wa pili"!!!!
Katika wanawake wapumbavu wewe namba 1!
Unapata mwanaume anakusomeshea watoto?Mungu akupe nini mwanamke? Loooh!
Haya,baada ya upuuzi wako ukapotezewa bwana mkubwa akampata 'mchuchu' mwingine,ndio nini kumtesa hivyo mwanamke mwenzio?
Ajabu ni watu wazima mlioko kwenye 30's zenu!
Una bahati sana umempata huyo KILAZA,ningekuwa mimi
Nifah ndio NG (New GF) ungekomaje?
Kaa pembeni bibi weeee,acha wenye stara zao wajilie vyao.
Shankupe wewe endelea kupasha viporo na mumeo (wewe unamuita X) huko.
Huna hadhi ya kula vipya,vyako viporo tu.