Leo nayatoa ya moyoni

hivi akienda kuchapwa anakiacha uko?? kama anarudi nacho hapo amna tatizo.
 
Mkuu...
Hawa wadada sikuwapata humu jf.
Mimi ndie niliwaleta jf..[emoji1] [emoji1]
hilo ndo kosa kubwa ulofanya mpaka wakajuana? Inachanganya! Mbona watu tuko wasiri tunachoma nyumba tunaficha moshi hata jirani hajui hakija kustukia nyumba haipo ila anaona majivu! Coz ninacjokiana ni kwamba hapa jf unaweza uwe hata na watu 3 wasijuane au inkuwaje watu wazima mnaaminiana kiasi kwamba hata password unampa as if ni mke?

ushimen jaribu kuwa msiri .pili kabla hujawa na numberless hakikisha uko single. Ona sasa vitimbwi vya wanawake vimekufanya utoe siri zako kiasi kwamba hata mkeo mama watoto wako anaweza kusoma hii movie.
 
Nifah samahani badala ya kusema "utachapiwa tu" ni heri useme "utaachwa tu."
 
Bado haujanielewa mkuu, ngoja nikuache kwanza.
Kwakifupi hii issue imekua top ubuyu hapa jf na pengine kiwewe tu ndie ulikua haujainasa hii sinema.
And ninacho kifanya hapa ni kuweka hii maneno sawa hasa kwa wale wanao ijua
 
Okay ukinifikia nilikuambia kuna wako sidhani kama utaweza kuupokea mwenyewe ulivyo mkubwa...unajua kule sipo serious nafanya kukupoke tu halafu kumbe unaniangalia[emoji4]

Hivi Kaboom unaielewa mienendo ya Benny kwa douta?

Na kama unaielewa, of all pipo huyu Benny ndo umemwacha kila siku anajifanya kuja kuulizia kitabu cha biological science kwa douta anayesoma HGL!
 
shoga huu msuto unataka mtu akae kwenye kigoda.
 
Bado haujanielewa mkuu, ngoja nikuache kwanza.
Kwakifupi hii issue imekua top ubuyu hapa jf na pengine kiwewe tu ndie ulikua haujainasa hii sinema.
And ninacho kifanya hapa ni kuweka hii maneno sawa hasa kwa wale wanao ijua
anyway ila usiache kusomesha watoto kama hali inaruhusu mwache huyo kilaza labda akitamka kuwa hataki ulipie watoto hao maana huwezi jua kwa nn ukutanishwe na hao watoto! Kwa kusomesha watoto wake tena shule sawa na wanao! Basi naweza sema wewe ni mwanaume.
 
sasa wewe njembaaaa...inakuwaje unachanganya madesa JF....JF haipaswi kuwa sehemu ya maisha yako......kama zilivyo Fake ID humu na maisha ya humu ni fake feki.....

Bro nasikitika kusema umejitakia mwenyewe

Hayo mambo uliyofanya wanafanya ma teenager

Kuna vidume wazoefu humu wanagonga vitu sita vyote vimo JF na havijuani......
 
naamaanisha kuwa yaam ujue mtu yuko jf afu ujirahisishe hadi hayo mambo? Yaan bora mkutane mitaan ila sio mitandaoni loh.
Ila hapa hapa watu wametokea kuoana.Sioni tatizo kama mnakutana then mnafahamiana kiundani huko mbeleni..Ni kama watu wanavyokutana kwenye basi,sherehe.makongamano n.k

Hapa kuna watu wapo serious pia na ni wengi pia kama walivyo watu walio na mizaha pia.So sorting ndo inatofaitiana kati ya ntu na ntu.
 
Nifah unakosea kumlaumu huyo demu...demu alikuwa ana fight for his love...ingawa na yeye demu ni popoma...maharage ya Tanga

Ila huyu jamaa ndio zobaaaa...sijawahi ona...how do u fikia hatua kwanza ya ID yako ya JF kujulikana na hao mademu wako......alafu pia it seems jamaa umeiweka JF katika real life yako
 


Ushimen unajua kulenga.
 
Nimekusikia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…