.."aliachana na mumewe wa pili", teh teh! Ulikutana na kiazi jf, dah...ushimen huna bahati na warembo wa jf..
Yaani kaka wewe ni mnyanyapaa. Kwa hiyo mwanamke akiachika mara mbili hafai tena? si ndio anakuja na ujuzi wa ndoa zote mbili kuunda ndoa ya tatu. Ni kama kuajiriwa mkurugenzi ukiwa na 10 yrs experience from 3 different companies. Lol
tena hao mi ndo nawataka
Tangazo Tangazoo Tangazooooo
wewe x wa Ushimen...Mimi nakutakaaaaaa
Napenda sana Experience yako....hasa kutoka kwa wanaume zako watatu...najua utakuwa uko vizuri
x wa ushimen....Please njoo kwangu....mimi sijali hata tukishare na majamaaa
Ushimen pass my message to her
Utakuwa unalizwa na kuliwa pesa kila uchwao;
hivi umekosa kabisa wanawake wa kuoa hadi
unakomaa na hao waliokomaa kama lami;
muulize Diamond platinumuz alivyoliwa na hao dada zako;
Mshukuru hata huyo aliyekuachia hao watoto wawili
ungebaki kama yule mtoto wa ana kilango; kutwa
kuhangaika na mademu wa mtandaoni;
HAHAHA swahiba. Anzisha uzi utawapata wa kumwaga. Ngoja nikupm jina moja ufuatilie. Shkamoo ujuzi.
hebu tuma hiyo PM fastaaaaa
manake nimechoka na vitoto vinanuka mkojo tuuuu...havina ujuzi wowote
Wewe ni mzalendo baba.
[emoji13] [emoji13]
Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. LolUmeanza wivu. Mwanamke hakomai, anamature kama wine. Lol
Yeye mwenyewe anatafuta yaya wa kumlelea watoto wake 2 ndio maana hata NG amemtafuta mwenye watoto.Nawewe hunaakili wenzio wanalia na single mothers hapa we ndo unajifanya bingwa
Sasa tumsaidie hivi,mmoja wenu tu akiwa na mtoto hapaeleweki ,vip kuhusu wote kua nao?aache ujing mabinti kibao wansakanya ndoaYeye mwenyewe anatafuta yaya wa kumlelea watoto wake 2 ndio maana hata NG amemtafuta mwenye watoto.
Kwahiyo hapa unamfundisha nini?sasa wewe njembaaaa...inakuwaje unachanganya madesa JF....JF haipaswi kuwa sehemu ya maisha yako......kama zilivyo Fake ID humu na maisha ya humu ni fake feki.....
Bro nasikitika kusema umejitakia mwenyewe
Hayo mambo uliyofanya wanafanya ma teenager
Kuna vidume wazoefu humu wanagonga vitu sita vyote vimo JF na havijuani......
Bora umejitokeza maana nilianza kukonekti dot fulani. Kuna mtu alisema jina linaanza na K, halafu Phd halafu umafia, miaka 30 ulonayo wewe etc. Sasa alokusaidia ni ushimen alosema amemuingiza yeye jf. Kucheck ushimen kaingia 2012 so ukawa umeponea chupu chupu. Lol
Hii ya kukomaa kama wine nimeipenda hahahahaUmeanza wivu. Mwanamke hakomai, anamature kama wine. Lol
Kwahiyo hapa unamfundisha nini?
Awe player au?
Hebu nyie maplayer tuachieni hawa wanaume wastaarabu wachache waliobakia.
Hao wanaoendelea kuwapanga humu waendelee,na wema wabakie na wema wao.