Leo nayatoa ya moyoni

Naachaje kukupenda Brenda jamani?
Tokea long time kitambo hicho you know.....
Koh koh
Nimetamani kweli huo ubuyu wa wanaume wasiofaa,si unanijua tena shoga ako?
Hahahahahaaa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] shogare tutasutwa tuhamie tu kule kwa da jane huku wambea wengi hadi wababa na midevu yao tutawezaje kuchuana na vikongwe wa hizi kazi....kuna mwanaume mmoja mwenyekiti wa umbea jf hajatinga humu atakuwa busy kunyoa watu sijui....
 

uko sahihi kabisa...Inawezekana watu wakajua if you are not careful enough.......watu wanapaswa kujitahidi kutenga maisha yao halisi na maisha ya mitandao ya kijamii.....Matokeo ya kutokuwa makini ni kama hili la leo la ushimen
 
Mhhhhhhh utantoa roho leo mtoto wewe!
Haya,huyo mwenyekiti wa umbea ndio nani tena?
Loooooh!
DaJane na alete huo ubuyu wa Lulu tukaumung'unye sie.
 
Hivi Kaboom unaielewa mienendo ya Benny kwa douta?

Na kama unaielewa, of all pipo huyu Benny ndo umemwacha kila siku anajifanya kuja kuulizia kitabu cha biological science kwa douta anayesoma HGL!

Hahah...mkuu baba kama anajua hivi ila ananiangalia tuu ila unaenda kuharibu mambo...

inabidi nianze kumtoa mzee kahawa jioni kabla haijawa mbaya
 
Kudadek!!!....mimi tu sijasoma JF[emoji134]
 
kweli mdada akizaa hukuu na huku af hajawa kwenye ndoa ya iakika ni rahuisi kukumbushia ya kale na mzazi mwenzie
 
Bahati umpate mwanamke anayeomba,ila asiyeomba kama mimi hapa nakupimia tu.
Na lazima utachapiwa hata iweje!

[emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
 
uko sahihi kabisa...Inawezekana watu wakajua if you are not careful enough.......watu wanapaswa kujitahidi kutenga maisha yao halisi na maisha ya mitandao ya kijamii.....Matokeo ya kutokuwa makini ni kama hili la leo la ushimen
Freeland
Hii kitu ipo hapa jf kwa muda sasa, pengine waweza kua mmoja kati ya wasio ijua hii sinema.
Ebu ngoja niishie hapa aiseee... nisije nikajikuta nafunguka hata ID zao...[emoji12]
 
Duh kapitiwa na shetan kwa hyo so far mpo wanaume watatu ww mme wake +shetani nasema bado bado bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…