Leo nayatoa ya moyoni

Ok..Natumai ataacha drama zake sasa
 
ahsante sana mkuu maisha ni kweli yanaendelea
 
ahaaaaaaa

mkuu ...ndio picha limeisha hivi?

Mbona sterling kafa kwenye majani....mimi naomba nikusaidie kwa x ...mwambie akuje pm tutaongea....mimi niko tayari kumixiwa..tehtehe
 
Kama huyo X Hajazaa nae hata mtoto mmoja, iweje aendelee kuwasomesha watoto wake, kama anashida ya kusaidia kila leo watu wanajitangaza wagonjwa mahospitali si bora akawasaidie hao warudishe afya zao kuliko huyu mwanamke asie na shukrani, ambae ana nguvu na ana elimu na kazi yake namabwana zake na waume zake, ASOMESHE MWENYEWE, Acha ujinga wewe, Labda kama huyo X Umezaa nae walau itakuwa na uzito kwamba wasomesha dada au kaka wa mtoto wako, yani ni ndugu zake wa tumbo moja kidogoooooo ina uzito, lakin kama X HUJAZAA NAE USIMSOMESHEE TENA WATOTO, TENA KAA NAE MBALI KAMA UKOMA ANAWEZA HATA KUKUUA HUYO SI MWANAMKE NI JINI.
 
Jambo msilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Wajinga ndio waliwao.
Hii ligi ni kati ya NG maslahi vs X sacrifice maslahi yazidi kuja.
Kalagabaho dada NG
 
HAHAHA swahiba. Anzisha uzi utawapata wa kumwaga. Ngoja nikupm jina moja ufuatilie. Shkamoo ujuzi.
HAYA BAADHI YA WANAWAKE WA JF JIANGALIENI MNAVYODHARAULIWA NA HAWA BAADHI YA WANAUME WA DAR, WANAPASIANA TU. Muwe makini sana.
 
Yani mleta mada kwa sisi wanawake TUNAMUITA MWANAUME WA HAJA, MWANAUME WA MAANA, YANI ANGEPATA MWANAMKE ANAEJITAMBUA TU, Tatizo Kapata Mwanamke Chizi na asieangalia future ya watoto wake na yeye mwenyewe, hawa watu walifika hatua nzuri yani kwa upande wa mwanaume nadahni alikuwa na nia njema kabsaa, na ukumbuke walikuwa wanapanga kila kitu usikute ulibaki muda mfupi wa ndoa, Mungu akaamua kumuonyesha kama mwanamke ulieanae ni JINI MAHABA, LAKINI HAPO HAKUNA CHA KUMSHANGAA.
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Yapo yaliyojificha nyuma ya pazia. Kikubwa ni somo la kujifunza usimlaumu yoyote kati yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…