Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Ok..Natumai ataacha drama zake sasaYule ni chizi aiseeee.....
Kwasababu kwa jinsi alivyo weza kucheza na akili za watu kwa weledi, anaweza akakuja tu na sinto mshangaa.
Mkuu, nimekua nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wengi humu jf wakinitaka kujua kulikoni, na nimekua nikiwajibu kwa mkato sana kwamba sijawa na utayari wa kulisemea hili.
Na sikua na nia ya kulisemea hili kabisa kwa upande wangu ni moja ya changamoto katika mahusiano.
Kilicho nileta hapa ni kwasababu ya huyu X kumchafua NG to the maximum, kiukweli naona kabisa X akimnyanyasa NG kwa ukatili mkubwa tena mbaya ameingia hata kwenye mambo ya kiimani na kumvunja mwenzie kwa kubonda kwa mawe ilhali hata yeye X akiwa ni mchafu alie kithiri.
Agghhhh...