Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Yule ni chizi aiseeee.....
Kwasababu kwa jinsi alivyo weza kucheza na akili za watu kwa weledi, anaweza akakuja tu na sinto mshangaa.
Mkuu, nimekua nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wengi humu jf wakinitaka kujua kulikoni, na nimekua nikiwajibu kwa mkato sana kwamba sijawa na utayari wa kulisemea hili.
Na sikua na nia ya kulisemea hili kabisa kwa upande wangu ni moja ya changamoto katika mahusiano.
Kilicho nileta hapa ni kwasababu ya huyu X kumchafua NG to the maximum, kiukweli naona kabisa X akimnyanyasa NG kwa ukatili mkubwa tena mbaya ameingia hata kwenye mambo ya kiimani na kumvunja mwenzie kwa kubonda kwa mawe ilhali hata yeye X akiwa ni mchafu alie kithiri.
Agghhhh...
Ok..Natumai ataacha drama zake sasa
 
Heshima kwako ibra87.

SASA NISEME WAZI KWAMBA NIMEAMUA RASMI KUFUNGA UKIRASA WA UZI HUU,
Naomba mnisamehe wale wote nilio wakwaza na kwa wale wadada mnao nyukana pasipo mashiko, nawasihi tu msameheane kwa hili lililo toke na kumbukeni kwamba ninyi ni watu wazima na mna watoto wanao wategemea.
Maisha yaendelee jamani
ahsante sana mkuu maisha ni kweli yanaendelea
 
Heshima kwako ibra87.

SASA NISEME WAZI KWAMBA NIMEAMUA RASMI KUFUNGA UKIRASA WA UZI HUU,
Naomba mnisamehe wale wote nilio wakwaza na kwa wale wadada mnao nyukana pasipo mashiko, nawasihi tu msameheane kwa hili lililo toke na kumbukeni kwamba ninyi ni watu wazima na mna watoto wanao wategemea.
Maisha yaendelee jamani
ahaaaaaaa

mkuu ...ndio picha limeisha hivi?

Mbona sterling kafa kwenye majani....mimi naomba nikusaidie kwa x ...mwambie akuje pm tutaongea....mimi niko tayari kumixiwa..tehtehe
 
anyway ila usiache kusomesha watoto kama hali inaruhusu mwache huyo kilaza labda akitamka kuwa hataki ulipie watoto hao maana huwezi jua kwa nn ukutanishwe na hao watoto! Kwa kusomesha watoto wake tena shule sawa na wanao! Basi naweza sema wewe ni mwanaume.
Kama huyo X Hajazaa nae hata mtoto mmoja, iweje aendelee kuwasomesha watoto wake, kama anashida ya kusaidia kila leo watu wanajitangaza wagonjwa mahospitali si bora akawasaidie hao warudishe afya zao kuliko huyu mwanamke asie na shukrani, ambae ana nguvu na ana elimu na kazi yake namabwana zake na waume zake, ASOMESHE MWENYEWE, Acha ujinga wewe, Labda kama huyo X Umezaa nae walau itakuwa na uzito kwamba wasomesha dada au kaka wa mtoto wako, yani ni ndugu zake wa tumbo moja kidogoooooo ina uzito, lakin kama X HUJAZAA NAE USIMSOMESHEE TENA WATOTO, TENA KAA NAE MBALI KAMA UKOMA ANAWEZA HATA KUKUUA HUYO SI MWANAMKE NI JINI.
 
Jambo msilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Wajinga ndio waliwao.
Hii ligi ni kati ya NG maslahi vs X sacrifice maslahi yazidi kuja.
Kalagabaho dada NG
 
HAHAHA swahiba. Anzisha uzi utawapata wa kumwaga. Ngoja nikupm jina moja ufuatilie. Shkamoo ujuzi.
HAYA BAADHI YA WANAWAKE WA JF JIANGALIENI MNAVYODHARAULIWA NA HAWA BAADHI YA WANAUME WA DAR, WANAPASIANA TU. Muwe makini sana.
 
Mleta mada ana issues wala si moja. Girlfriend ukamkabidhi watoto, unawaunganisha watoto na strangers wanatengeneza bond bila kuwa na mahusiano rasmi. Matokeo yake ndio hayo, anabaki kuwa mtumwa wa X kwakuwa anatake care of his kids. Na NG ataaminije kuwa hakuna mahusiano ilhali watoto anawatunza X na wanasoma wote. ilibaki kuwatambulisha kwa other step sisters na brothers wa NG. Imagine watoto wanakuwa ktk mazingira hayo. Huyu ana spirit ya marry and remarry, maana kwake kuanzisha mahusiano mapya na kuahidiana ni rahisi sana kwake.
Yani mleta mada kwa sisi wanawake TUNAMUITA MWANAUME WA HAJA, MWANAUME WA MAANA, YANI ANGEPATA MWANAMKE ANAEJITAMBUA TU, Tatizo Kapata Mwanamke Chizi na asieangalia future ya watoto wake na yeye mwenyewe, hawa watu walifika hatua nzuri yani kwa upande wa mwanaume nadahni alikuwa na nia njema kabsaa, na ukumbuke walikuwa wanapanga kila kitu usikute ulibaki muda mfupi wa ndoa, Mungu akaamua kumuonyesha kama mwanamke ulieanae ni JINI MAHABA, LAKINI HAPO HAKUNA CHA KUMSHANGAA.
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Yapo yaliyojificha nyuma ya pazia. Kikubwa ni somo la kujifunza usimlaumu yoyote kati yao
 
Back
Top Bottom