Leo nayatoa ya moyoni

Aisee pole jipange upya sio x wala NG......x anaona msaada anaopata wa kusomeshewa watoto 2 unayoyoma inabidi apambane.......binadamu hujifunza kutokana na makosa
 
Hili huws nalisema kila siku mwanaume kama una akili timamu usijione jabali kwa kuhonga wanawake, ona sasa unavyolialia??

Si mnasema mchape kazi ili mpate pesa za kuwapa wanawake?? Kinachokuliza si mapenzi ni pesa ulizohonga we mbulula
Jaribu kusoma uzi hadi mwisho kabla haujaandika chochote aiseeee
 
Karibu shogaa umbeyani, umeandaa popcorn zakutosha mana umechelewa kidogo.

Nimekumiss pia.
Hahaaa nmeenda za kutosha yaan wee zikikuishia tu nistue nikupunguzie zangu maana naona jf si kwakukaa mbali nako
 
Hujaeleweka vizuri mkuu. Sasa tusipozaa inakuwaje? Tumeumbwa tuzae..na wewe umezaliwa kutoka kwa mwanamke. Sentensi yako ni tata...imeleta maana tofauti kwangu.
Mcheki Pythagoras atakuelewesha ni kitu simple tuu
 
Mkuu imeisha hii issue? I mean hii story? Inafunza aisee, givu asi samu mo....
 
Mkuu Ushimen katika hii battle i will stand on the side of your x! kakuchakaza kijinga sana... kwa lipi hasa mtu hujazaa nae unam cancel still umsomeshee watoto wa mwanaumme mwenzio?! ili iweje sasa? we HakiElimu ama vepe??

Umeona eeh, kama hii stori ni ya kweli basi huyu mwanamke ana akili kulishinda hili lijamaa, na ndio maana analilia mapene waziwazi tena kijinga.
 
Umeona eeh, kama hii stori ni ya kweli basi huyu mwanamke ana akili kulishinda hili lijamaa, na ndio maana analilia mapene waziwazi tena kijinga.
Mapenzi yanaweza sababisha ukafanya chochote kile na watu wakakushangaa. Mi namuelewa
 
Fanya jaribio dogo tu leo.....weka elf 30 kwenye simu mpesa.....kisha elf 5 mtumie mama yako....then elf 25 mtumie demu (hawara/mpenz) wako..kisha subiri respond.
Mama......,utasikia asante sana mwanangu nilikuwa sina sukari hii itanitosha kupata kilooja, mungu akubariki sana.

Demu lako.......na ww hii ndio hela gani? Hela yenyewe hata kununua dawa ya kuoshea nywele haitoshi, mm mwanamke kunitunza ni gharama, ubahili wako mm naona utanishinda.

Hebu kma una hela tumia mzazi wako hasa mama....achana na mikei pasua kichwa haina shukrani.....R.I. P MY MOM, NAJUA NILIJITAHID KUKUNJUA MKONO WANGU KWAKO. SORRY KM NILIKUKWAZA..... I LOVE YOU MOM
 
You may be right lakini hebu tuwe wa kweli jamani. Ni wanawake wanawake wangapi uliwahi kuwatumia hela wakakujibu hivyo ulivyoelezea?
 
Kiongozi Ushimen, ulikuwa unawasomesha watoto wa X wako?
Kwa nini ulipenda kuwaleta girls wako jf baada ya kuwa wapenzi, huoni kuwa uliwaleta kwenye midomo ya simba?

Pole sana, best way kufurahia hii platform ni kujiweka mbali na pm. Nilijifunza kitu juzi hapa, don't trust strangers, waweza kushangaa simple conversations baina yako na mwenzako zimekuwa "talk of the forum" bila wewe kujua. Kuna viazi humu balaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…