johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Leo ni siku ya Dominika.Tunawatakia waislamu wote Dominika njema.Ile Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
Lucas Mwashambwa, Malaria 2 😀
Ndio sababu wamechagua Siku Takatifu 😄Tunawatakia waislamu wote Dominika njema.
Nusu fainali kwani tayariIle Siku muhimu ya fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran ndio Leo
Tukio liko mubashara TBC, ZBC na Clouds tv
Mgeni rasmi ni Mpendwa wetu mh Rais Samia
Karibuni sana
Lucas Mwashambwa, Malaria 2 😀
Siyo Kila fainali inaanza na Nusu fainali 😀Nusu fainali kwani tayari
Anafanya kazi gani ya maana mpaka achoke,zaidi ya kukaa tuMh! hachoki jana tu alikuwa kwenye komedi!
Sasa walioingia fainali wamepatikanajeSiyo Kila fainali inaanza na Nusu fainali 😀
Mh! ungejua hata kukaa ni kazi!Anafanya kazi gani ya maana mpaka achoke,zaidi ya kukaa tu
Dominika ndo niniLeo ni siku ya Dominika.Tunawatakia waislamu wote Dominika njema.
Kazi gani sasa!!!Mh! ungejua hata kukaa ni kazi!
Ni raha kutukuzwa kila ashikae kipaza anakutaja wewe kwa unyenyekevu wengine wanasujudu kukupa heshima, wengine saluti na mama mama kibao.Hachoki kuhudhuria kila tukio analo alikwa? Jana kwenye Tuzo, leo kwa mkapa, kwenye kuhifadhi Quran.
Hongera yake.
Kwa njia ya makundi 😄Sasa walioingia fainali wamepatikanaje
Hana haiba ya ukaliWakati mwingine Mh. Rais Dakta Samiah S. H. awe ana kataa mialiko,si kila mwaliko uhudhurie. Kuna mambo mengi ya kitaifa yanamuhitaji, akitaka trending ya kweli na ya haraka,awe anafanya ziara za kikazi mikoani na awe mkali kwa watumishi wazembe..!
Siku Takatifu ya BwanaDominika ndo nini