Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

Leo Ndio Fainali ya mashindano ya Kuhifadhi Quran tukufu Uwanja wa Mkapa, Mgeni rasmi Rais Samia

Wacha weeee 😂😂
قَالَ إِنِّي عَبْدُ اللَّهِ آتَانِيَ الْكِتَابَ وَجَعَلَنِي نَبِيًّا
(Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii.

Quran 19:30(surat maryam siyo Maria)
 
Kwanini wasibadilishe jina waliite DR. SAMIA QURAN FESTIVAL?! Tuunge Mkono juhudi za Dr. Samia
Usikonde wala nini. Hiyo ipo na itakuja very soon. Pia na "Kesha na Mama Samia" inaandaliwa na Mwamposa! Umefurahi?
 
Back
Top Bottom