Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

Fao La Kujitoa

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
396
Reaction score
967
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.

Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.

Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa.

David_Mwakyusa.jpg

Wakuu niwieni radhi. David H. Mwakyusa siyo mbunge. Google wikpedia imenichanganya. Wanabidi waupdate. Kwasababu wameandika hata David Mwakyusa ni incumbent.
 
USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.

1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.

2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.

3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.

4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.

5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.

Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
 
USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.

1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi...
Du Wanyakyusa ...mkiwa na isingizi mlale!

Mwenzako katupotosha ...wewe unatudanganya ,hebu pitia vizuri Uzi wako na fact ulizoweka!

Upotoshaji xUongo+ kimbelembele=!
 
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki licha ya kuwa bado mbunge wa Rungwe Magharibi. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.

Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa. View attachment 1667043
Huyu mzee nilijua yupo kitengo siku mwl amefariki dah noma sana wakati akiwa mkurugenzi wa muhimbili watu walimchukulia poa kumbe nyoca.
 
USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.

1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.

2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.

3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.

4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.

5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.

Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Ni msabato? Sikufahamu hilo. Kwa iyo siyo mmbunge? Mbona kwenye google Wikipedia wanamtambua kama mbunge wa sasa Rungwe west. Msaada please
 
Du Wanyakyusa ...mkiwa na isingizi mlale !
Mwenzako katupotosha ...wewe unatudanganya ,hebu pitia vizuri Uzi wako na fact ulizoweka!
Upotoshaji xUongo+ kimbelembele=!
Sijapotosha mimi mkuu ni Google na Wikipedia wanachanganganya
 
Asante mkuu. Hata mimi nilishangaa sana kulikoni? Hata kama ni mkimya asisike bungeni? Hata hivyo ni smart na intelligent
Lazima awe intelligent zingatia yafuatayo.

1.Alikuwa bosi wa muhimbili yote.
2.Alikuwa Dr wa baba wa taifa.
3.Yupo umweweni mpaka Leo.
4.Alikuwa waziri wa afya.
5.Ni profesa wa kusoma sio desa.

Je atakuwa kilaza?
 
Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki licha ya kuwa bado mbunge wa Rungwe Magharibi. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.

Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa. View attachment 1667043

====================

Wakuu niwieni radhi. David H. Mwakyusa siyo mbunge. Google wikpedia imenichanganya. Wanabidi waupdate. Kwasababu wameandika hata David Mwakyusa ni incumbent.
Senior leadership fellow at Harvard school of Public health
 
Back
Top Bottom