Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

Leo ndio najua David Mwakyusa bado yupo kwenye siasa

Watu kutoka Mbeya waliofanya utopolo ni mwakiyembe na Tulia ackson

Huyo ni Mwakyembe au Mwakiyembe? Alikuwa utopolo!!! Huyu jamaa aliwatia aibu wasokile kwa kupiga NYUNGU kama nja ya kujipendekeza kwa JIWE ; ilikuwa kama vile kala nyama ya mtu, wanyambala wakamtosa!!!
 
Wala usipate tabu tumeshaelewa kwamba unamalizia muda wa bando kabla kampuni ya simu hawajakata ndo maana unajiandikia tu.
Kuwa na nidhamu bwana mdogo kwa waliokuzidi elimu, hela hekima na exposure
 
Huyo ni Mwakyembe au Mwakiyembe? Alikuwa utopolo!!! Huyu jamaa aliwatia aibu wasokile kwa kupiga NYUNGU kama nja ya kujipendekeza kwa JIWE ; ilikuwa kama vile kala nyama ya mtu, wanyambala wakamtosa!!!
Mwakyembe hata thesis yake ya Udsm aliikana ili tu aonekana bora kwa maccm wenzake
 
Mwakyembe hata thesis yake ya Udsm aliikana ili tu aonekana bora kwa maccm wenzake

Hafai hupewa kazi huyu kwasababu hana INTERGRITY!!! Hafai hata kurudu kufundisha kwasababu Mwalimu ni mtu wa kuheshimiwa na huyu hastahili hiyo heshima.
 
..wahadhiri ambao wamejikita kwenye kutibu wagonjwa wodini na kwenye theatre ni muhimu.

..wahadhiri ambao wanajishughulisha na masuala ya utafiti / research work nao ni muhimu.

..kumbuka kwamba lengo la kitivo husika ni kutoa wahitimu watakaofanya kazi za wodini na theatre, pamoja na wahitimu watakaojikita kwenye utafiti / research.
Ni sawa, hata fani nyingine ni hivyohivyo ni muhimu. Wahadhiri wa uhasibu ambao wamejikita pia kutoa huduma za auditing na financial consultancy ni muhimu. Wahadhiri wa uhasibu wanaojishughulisha na research nao ni muhimu. Mbona wahasibu hawapewi uprofesa wa bwerere bila PhD?
 
Unapo fanya many research projects and publications katika professional journals eg; lancet etc unapewa uzito zaidi kuliko anaefanya thesis moja na kupata PhD. Na hasa uzito wa chozen synopsis. Peer reviewer wanaweza kufanya research findings reviews zikatikisa.
Kwahiyo ndiyo wapewe uprofesa bila PhD?
Kwa mfano nilisoma cv ya profesa mmoja mstaafu wa Muhimbili nikakuta alipata degree ya kwanza late 1970s, kisha akasoma certificate ya kitu gani sijui, basi. Akaajiriwa Muhimbili kufundisha ambako alipata regular promotions kila baada ya miaka 3 hadi akafikia ngazi ya uprofesa.
Umezungumzia research. Tafuta katika hao maprofesa wa Muhimbili wasio na PhD uone publications zao. Wanachukua research papers za wanafunz wao wa undergraduate wanazifanyia editing na kutuma kwa journals za very low impact. Na hapo wanasahau asilimia kubwa ya kazi za wanafunzi ni madesa, hakuna originality!
Maprofesa ninaowakubali pale Muhimbili ni wale wa social sciences na wale wa pharmacy, wanafanya serious science na wote wana PhD.
Hao wa wodini wasiokuwa na PhD nawaheshimu katika ubingwa wa fani zao za kutibu lakini uprofesa wao ni wa kubumba
 
Back
Top Bottom