USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.
1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.
2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.
3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.
4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.
5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.
Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Huyu ni miongoni mwa wale maprofesa wa Muhimbili waliopeana uprofesa kwa mtindo wa "annual increment" bila kuwa na PhD. Hana PhD huyu, lakini ni profesa! Wenzake kama yeye ni pamoja na akina Sarungi, hata huyu Mkurugenzi wa sasa wa Muhimbili anaitwa Museru na wengine wengi wa Muhimbili mnaosikia wakiitwa maprofesa hawana PhD. Wapo wachache wenye PhD, hasa wale waliopitia mkondo wa social sciences (kama vile Dr Semakafu, mwalimu wa DS) na wale wa maabara (hasa upande wa madawa, yaani pharmacy). Wale wa tiba waliamua kujikweza na kujiwekea kasheria kao ka annual increment, unapanda cheo kila baada ya miaka 3 hadi unakuwa profesa!
Hakuwa Mkurugenzi wa Muhimbili yote bali Mkurugenzi wa Administration.
Mkurugenzi wakati huo ni Prof Mgaya au Mbaga ambaye Ali take over from Prof Sarungi, na baada ya Hapo ni Prof Shija etc .
Ni yupi huyo?Na huyu PhD holder mwenye thesis special yeye ni msomi wa aina gani na ngeli halipandi?
Kuna wilaya moja tu ya Rungwe yenye majimbo mawili ya uchaguzi - Rungwe (awali Rungwe Magharibi) na Busokelo (awali Rungwe Mashariki) kama ulivyobainisha. Busokelo ni halmashauri tu ndani ya wilaya ya Rungwe, si wilaya!
Na kwahiyo wilaya ya Rungwe ina halmashauri tatu: halmashauri ya wilaya ya Rungwe, halmashauri ya Busokelo na halmashauri ya Mji Mdogo Tukuyu.
Kuweka kumbukumbu sahihi
Profesa David Mwakyusa alikuwa waziri wa afya kwenye awamu ya nne ya mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, kutoka mwaka 2005 mpaka 2010 sio kwa Rais Mkapa kama ulivyosema
Pia Busokelo sio wilaya, bali ni halmashauri ndani ya wilaya ya Rungwe
Ndani ya wilaya ya Rungwe kuna halmashauri mbili
1. Halmashauri ya Rungwe
2. Halmashauri ya Busokelo
Pia ndani ya wilaya ya Rungwe kuna majimbo mawili ya uchaguzi
1. Jimbo la Busokelo
2. Jimbo la Rungwe
Halmashauri mbili au tatu?
Ndo wapimtutsi..mababu zake walitokea katumba: JOKING![]()
Wala sio sawa. Hata vyuo vingine kuna wataalamu wanaofanya taaluma zao (mfano sheria) na kufundisha lakini hawapewi uprofesa kwenye silver platter kama walivyopeana akina Mwakyusa. Hii ni magumashi ya kujikweza tu...lakini taratibu zote zina advantage na disadvantage zake.
..wanaotibu wagonjwa, kwa maana ya clinical work, na kufundisha, wana umuhimu sawasawa na wale wanaofanya utafiti / research na hatimaye kutunukiwa PhD.
Hakuna la maana walilofanyaUSIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.
1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.
2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.
3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.
4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.
5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.
Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Huyu alipewa desa la mwanafunzi wa miaka ya nyuma na Dr Akwilapo aliyekuwa msimamizi wake akakopi mpk jina.Na huyu PhD holder mwenye thesis special yeye ni msomi wa aina gani na ngeli halipandi?
Wala sio sawa. Hata vyuo vingine kuna wataalamu wanaofanya taaluma zao (mfano sheria) na kufundisha lakini hawapewi uprofesa kwenye silver platter kama walivyopeana akina Mwakyusa. Hii ni magumashi ya kujikweza tu.
Unapo fanya many research projects and publications katika professional journals eg; lancet etc unapewa uzito zaidi kuliko anaefanya thesis moja na kupata PhD. Na hasa uzito wa chozen synopsis. Peer reviewer wanaweza kufanya research findings reviews zikatikisa.Wala sio sawa. Hata vyuo vingine kuna wataalamu wanaofanya taaluma zao (mfano sheria) na kufundisha lakini hawapewi uprofesa kwenye silver platter kama walivyopeana akina Mwakyusa. Hii ni magumashi ya kujikweza tu.
Watu kutoka Mbeya waliofanya utopolo ni mwakiyembe na Tulia acksonMkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.
Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.
Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa.
Wakuu niwieni radhi. David H. Mwakyusa siyo mbunge. Google wikpedia imenichanganya. Wanabidi waupdate. Kwasababu wameandika hata David Mwakyusa ni incumbent.
Kumbe wasabato nao ni wanasiasa? SikujuaUSIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.
1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.
2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.
3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.
4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.
5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.
Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Watu kutoka Mbeya waliofanya utopolo ni mwakiyembe na Tulia ackson
Wala usipate tabu tumeshaelewa kwamba unamalizia muda wa bando kabla kampuni ya simu hawajakata ndo maana unajiandikia tu.Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki.