Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 967
Du Wanyakyusa ...mkiwa na isingizi mlale!USIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.
1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi...
Huyu mzee nilijua yupo kitengo siku mwl amefariki dah noma sana wakati akiwa mkurugenzi wa muhimbili watu walimchukulia poa kumbe nyoca.Mkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki licha ya kuwa bado mbunge wa Rungwe Magharibi. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.
Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa. View attachment 1667043
Ni msabato? Sikufahamu hilo. Kwa iyo siyo mmbunge? Mbona kwenye google Wikipedia wanamtambua kama mbunge wa sasa Rungwe west. Msaada pleaseUSIPOTOSHE UMA NDUGU TAFADHALI SANA.
1. Wilaya ya Rungwe hapo awali ilikuwa imegawanywa kwenye Majimbo Mawili Rungwe mashariki na Rungwe Magharibi.
2 . Baada ya mwaka 2015 kuanzisha Mkoa mpya wa Songwe ilibidi Wilaya Rungwe iwe na jimbo moja tu la Rungwe. Na jimbo lililokuwa Rungwe mashariki likaenda kwenye wilaya mpya ya Busokelo na kuitwa jimbo la Busokelo.
3 Mbunge wa Sasa Wa Rungwe ni D. Mwantona baada ya kuiba kura za CHADEMA kwa mgombea Mwakagenda.
4. Mwakyusa alikuwa Waziri wa Afya Utawala wa Benjamini mkapa.
HAKUHFANYA KITU CHOCHOCHO WILAYA YA RUNGWE WALA KWENYE JIMBO LAKE. ukilinganisha na Mwandosya.
5. Ndiye alikuwa Daktari wa Mwalimu Nyerere hadi Kifo.
Ni mpole na mkimya kupita kiasi.
MSABATO ALIYEPOA ZAIDI NA ZAIDI.
Ni msabato? Sikufahamu hilo. Kwa iyo siyo mmbunge? Mbona kwenye google Wikipedia wanamtambua kama mbunge wa sasa Rungwe west. Msaada please
Asante mkuu. Hata mimi nilishangaa sana kulikoni? Hata kama ni mkimya asisike bungeni? Hata hivyo ni smart na intelligent.Sio mbunge Google wikpedia hata wewe unaweza kuediti.
Sijapotosha mimi mkuu ni Google na Wikipedia wanachanganganyaDu Wanyakyusa ...mkiwa na isingizi mlale !
Mwenzako katupotosha ...wewe unatudanganya ,hebu pitia vizuri Uzi wako na fact ulizoweka!
Upotoshaji xUongo+ kimbelembele=!
Lazima awe intelligent zingatia yafuatayo.Asante mkuu. Hata mimi nilishangaa sana kulikoni? Hata kama ni mkimya asisike bungeni? Hata hivyo ni smart na intelligent
Wikipedia hata wewe waweza post ujinga wowote na usiupdate sio sehemu reliable sanaNi msabato? Sikufahamu hilo. Kwa iyo siyo mmbunge? Mbona kwenye google Wikipedia wanamtambua kama mbunge wa sasa Rungwe west. Msaada please
Mjibu tu, huenda amekuchokoza ili akumwagie madini zaidi.Unauliza upuzi?
Google Wikipedia siyo reliable source of information, jaribu Google ScholarSijapotosha mimi mkuu ni Google na Wikipedia wanachanganganya
Nani alikushauri ufanye reference kwenye wikipedia?Ni msabato? Sikufahamu hilo. Kwa iyo siyo mmbunge? Mbona kwenye google Wikipedia wanamtambua kama mbunge wa sasa Rungwe west. Msaada please
Senior leadership fellow at Harvard school of Public healthMkikumbuka jinsi alivyoimudu wizara ya afya enzi za mkwere. Licha ya elimu yake ya juu huyu mtu ni gentleman na smart. Hana maneno mengi ndio maana hasikiki licha ya kuwa bado mbunge wa Rungwe Magharibi. Nchi yetu ina hazina na wengi wako kimya tu. Wanyakyusa ni gentlemen angalia kama proffesor Mwandosya another gentleman akina Davis Mwamunyange kasoro mwanadada Tulia janjajanja.
Mwakyusa ana miaka 78 but still strong. Mungu ambariki huyu humble gentleman David Homeli Myakyusa. View attachment 1667043
====================
Wakuu niwieni radhi. David H. Mwakyusa siyo mbunge. Google wikpedia imenichanganya. Wanabidi waupdate. Kwasababu wameandika hata David Mwakyusa ni incumbent.
Hiyo #.3 kiboko.Lazima awe intelligent zingatia yafuatayo.
1.Alikuwa bosi wa muhimbili yote.
2.Alikuwa Dr wa baba wa taifa.
3.Yupo umweweni mpaka Leo.
4.Alikuwa waziri wa afya.
5.Ni profesa wa kusoma sio desa.
Je atakuwa kilaza?