Watu kutoka Mbeya waliofanya utopolo ni mwakiyembe na Tulia ackson
Kuwa na nidhamu bwana mdogo kwa waliokuzidi elimu, hela hekima na exposureWala usipate tabu tumeshaelewa kwamba unamalizia muda wa bando kabla kampuni ya simu hawajakata ndo maana unajiandikia tu.
Mwakyembe hata thesis yake ya Udsm aliikana ili tu aonekana bora kwa maccm wenzakeHuyo ni Mwakyembe au Mwakiyembe? Alikuwa utopolo!!! Huyu jamaa aliwatia aibu wasokile kwa kupiga NYUNGU kama nja ya kujipendekeza kwa JIWE ; ilikuwa kama vile kala nyama ya mtu, wanyambala wakamtosa!!!
Mwakyembe hata thesis yake ya Udsm aliikana ili tu aonekana bora kwa maccm wenzake
Ni sawa, hata fani nyingine ni hivyohivyo ni muhimu. Wahadhiri wa uhasibu ambao wamejikita pia kutoa huduma za auditing na financial consultancy ni muhimu. Wahadhiri wa uhasibu wanaojishughulisha na research nao ni muhimu. Mbona wahasibu hawapewi uprofesa wa bwerere bila PhD?..wahadhiri ambao wamejikita kwenye kutibu wagonjwa wodini na kwenye theatre ni muhimu.
..wahadhiri ambao wanajishughulisha na masuala ya utafiti / research work nao ni muhimu.
..kumbuka kwamba lengo la kitivo husika ni kutoa wahitimu watakaofanya kazi za wodini na theatre, pamoja na wahitimu watakaojikita kwenye utafiti / research.
Kwahiyo ndiyo wapewe uprofesa bila PhD?Unapo fanya many research projects and publications katika professional journals eg; lancet etc unapewa uzito zaidi kuliko anaefanya thesis moja na kupata PhD. Na hasa uzito wa chozen synopsis. Peer reviewer wanaweza kufanya research findings reviews zikatikisa.