Leo ndio nimegundua kuwa kulia ni tiba kubwa sana

Nasubiri ukifa.Ntalia huku namkonyeza mkeo.
 
Madhara ya pombe hayo...ilistimulate oxytocin...
 
😂😂😂😂😂😂
 
Kuna siku nililia sana yani... Zaidi ya saa nzima... Kila wandugu wakiuliza kinachoniliza ndio kama walikuwa wanachochea... Simu zinapigwa kila mahali hata kuongea siwezi ni kilio tu... Kwi kwii na machozi kutiririka...

Maisha yako na dimensions nyingi.
 
Absolutely, unafiwa na baba yako halafu unaambiwa usilie jikaze we mtoto wa kiume! Utajikaza sawa ila moyo unabaki na majeraha ya sonono kwa muda mrefu yanayopelekea kuchukua uhai wako pia.
Wenzetu wanalia wanamaliza kabisa chapter
Kifo hakina mbabe, great anger mixed with deepest sorrow, kuna kitu kinakaba kooni..haielezeki. ila chozi kama chozi halitoki.
 
Machozi hupunguza maumivu na sumu nyingi mwilini

Thread 'Hata wanaume hulia' Hata wanaume hulia
 
Machozi hupunguza maumivu na sumu nyingi mwilini

Thread 'Hata wanaume hulia' Hata wanaume hulia
 
Ni kweli dawa ni kulia tu...acha tulie tujiponyeshe...lieniii😃
 
Hii umenikumbusha mbali😂😂😂


Itoshe kusema wanaume tumeumbwa tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…