Leo ndio nimegundua Simba hamna kocha pale

Hata 3 mlipigwa na Tabora mwanzoni mwa ligi?Mlifungwa 1 na Azam mwanzoni mwa ligi?Mnaburuza mkia kwenye kundi lenu la CAF mwanzoni mwa ligi?Ken Gold mlishinda ngapi?Pamoja na goli lao kukataliwa?
 
waitumie kwa wananchi uone watakavyo pigwa
 
1.Mpanzu ana muda mrefu hajacheza mechi za mashindano
2. Mpanzu hajapata utimamu wa mwili kutokana na 1 hapo juu
3. Mpanzu hajatengeneza muunganiko stahiki na wenzie kutokana na ugeni
4. Mpanzu anaweza kupata majeraha Kwa kuchezeshwa dakika nyingi hizi mechi zake za mwanzo kutokana n 1 na 2 hapo juu
 
Hakuna ligi duniani wachezaji wanacheza mechi 3 ndani ya wiki 1.Yaani mechi kila baada ya mapumziko ya siku 2 pamoja na kusafiri,halafu utaraji kwamba wachezaji watakuwa kwenye level ile ile.Hakuna recovery ya kutosha wala kutrain kuweka miili sawa.
 
Hata 3 mlipigwa na Tabora mwanzoni mwa ligi?Mlifungwa 1 na Azam mwanzoni mwa ligi?Mnaburuza mkia kwenye kundi lenu la CAF mwanzoni mwa ligi?Ken Gold mlishinda ngapi?Pamoja na goli lao kukataliwa?
Mpira umeanza kuangalia Jana au pombe zimekupanda,mwanzo mwa ligi Simba alishenyetwa vibaya mno ....kengold nilipata point 3 natamba

Endeleeni kubebwa Mech Vs Dodoma jiji,Azam ni ushahidi WA niliongea usilete mapenzi hapa ongea fact
 
Alishenyetwa vibaya mno mwanzoni mwa ligi akapoteza mechi ngapi?Na Utopolo kapoteza mechi ngapi?Nisije nikawa naongea na mtu alikuwa jela.Mechi na Coastal mlibebwa,mechi na Simba mlibebwa.Umewahi kumsikia Kayoko akichezesha tena?Mechi na Ken Gold mlibebwa.
 
Ila mutale yeye kayafanikisha yotee? Kapata muunganiko, Kila kitu mbona ni kiazi TU na anachokifanya akieleweki au kujulikana?
 
Akapoteza tenah mech na Yanga ligi kuu,Yanga kalose mech 2 Ambapo 1 walikuwa pungufu ...Mech na Simba tulibebwa wapi Hamza hukuona alistahili Kadi nyekundu ?,hukuona refa aliwabeba kwa camara huoni eh

Kayoko kachezesha mechi ya SINgida black stars ambayo itawashenyenta Vs Dodoma jiji na black stars walishinda 2 kwa 1., December 12,2024 je derby mlikuwa hamjacheza bado,,unahisi mpira tunaangaliaga highlights kama ww
 
Kwani kocha alikuwa anacheza namba ngapi leo? Kuwa na heshima boss, kama huyo Elie Mpanzu alikuwa na uwezo alishindwa nini kufunga kwenye hizo shoti onitageti?
 
Akichezesha mechi ya Simba wewe mvimba macho.Kwa hiyo mkifungwa mkiwa pungufu hujashindwa?Na JKT mlishinda au hamkushinda wakiwa pungufu baada ya kutolewa golikipa wao dakika ya 57.
Au kisingizio cha kuwa pungufu ni nyie tu?
Ngebe nyingi huku mnaburuza mkia au na huko mlikuwa pungufu?
Wacheni mpira wa mdomoni.Mlichapwa mkafukuza kocha na CAF vipigo vikaendelea.
 
Kwani kocha alikuwa anacheza namba ngapi leo? Kuwa na heshima boss, kama huyo Elie Mpanzu alikuwa na uwezo alishindwa nini kufunga kwenye hizo shoti onitageti?
Kocha hajui kitu, hajacheza namba yoyote, lakini kumuingiza mutale ni upuuzi kafanya, game ya singida big star ni ngumu sana lakini ghafla utaona kikosi chake
 
Kocha hajui kitu, hajacheza namba yoyote, lakini kumuingiza mutale ni upuuzi kafanya, game ya singida big star ni ngumu sana lakini ghafla utaona kikosi chake
Ila mkuu ukweli usemwe, Sisi Simba hatuna timu pale tumekosa magoli ya wazi mno. Ni ninavyoona kuna mechi kama 3 kama hatutakaa sawa tutasare maua!
 
Nishakuzidi kwa hoja unapumulia mashine ,naona unaongea pumba Tu ...Unawapangia bodi ya ligi kayoko achezeshe mechi ya Simba nasema you are hopeless mbona hajachezesha ya Azam nimekupa mech unahangaika kama maharage yasiova...Round ya 2 nitakushenyenta kwa timu hii Tia maji Tia maji...pita hivi

Soma hapa chini
Thread 'Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana' Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana
 
Zaidi ya kuangalia kwenye tv, una experience yoyote ya ukocha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…