Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Kupanga ni kuchagua broo. Kwa hiyo huku Jf ndo poa sio?
Sio kama pazuri ila buku kumi na tano ni ndogo sana, unajua kuna kazi ambazo zina hela ila tatizo kuchukulia poa, mfano auze hata tikiti 3 kwa siku faida haiwi chini ya 15000 per day mara mwezi ni 450k hapo hatoboi kweli?
 
Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.
Maendeleo ya Jamii, iko kwa Certificate na diploma, na kuna vyuo navijua inatoa hiyo course, ikiwepo Chuo cha Mipango Dodoma.

Na ajira ya hii course, ni utendaji wa kata/mtaa/kijiji.
 
Pole jipe moyo utashinda, haijawahi kuwa rahisi ndugu kukuvusha sehemu nyingine hasa ikiwa inahusu mafanikio.. wengi tunasaidiwa na watu baki ila ukipita katka Hilo usije ukajisahau🙏
 
Njoo Ruislip wote
 
Kwa aambao hamjui kozi ya maendeleo ya jamii yaani Development studies (DS) ni kozi mpya ipo UDOM na UDSM kwa ngazi ya degree

Nafikirii hapo tufunge kurasa kama huelewi nenda google
 
Nadaiwa nikijiunga wanakata hela na hela nayotumiwa sio nyingi kiasi kwamba nikisema niunge bando basi kwa wakala nitatoaejero
Kwan wanakutumia buku buku? Si ulipw deni na uunge salio afu ushukuru watumaji, au shda yako ndo itaisha leo mazima?

Hutotaka tena msaada humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…