Sport ladyy
JF-Expert Member
- May 9, 2024
- 263
- 524
Ila jadda leo mmenikalia kooni na babe wako 🤣Cc Natafuta Ajira & Co
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jadda leo mmenikalia kooni na babe wako 🤣Cc Natafuta Ajira & Co
Sio kama pazuri ila buku kumi na tano ni ndogo sana, unajua kuna kazi ambazo zina hela ila tatizo kuchukulia poa, mfano auze hata tikiti 3 kwa siku faida haiwi chini ya 15000 per day mara mwezi ni 450k hapo hatoboi kweli?Kupanga ni kuchagua broo. Kwa hiyo huku Jf ndo poa sio?
Maendeleo ya Jamii, iko kwa Certificate na diploma, na kuna vyuo navijua inatoa hiyo course, ikiwepo Chuo cha Mipango Dodoma.Diploma ya Mnaendeleaje.......? Kwani amerekebisha Statement ya awali kama kweli ni Typing error.
KUshea ni kujali, haijalishi unacho kingi au kidogo, nimegundua humu wengi maisha yetu magumu lakini na roho ya choyo na husda tunayoTena unakuta kapiga ndefu 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nasemea Maendeleo ya JamiiCourse inaitwa Mnaendeleaje ya jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi huko?Kumbe,ila safari hii mafisi yamenyooshwa wao,kudadeki.
Wee usiniambie 😀Dada mkubwa, tunapigwa huku😅😅
Njoo Ruislip woteHapa nilipo nina majonzi, roho imeniuma sana kwa kuzaliwa kwenye familia maskini
Ipo hivi mimi kwetu ndio wa mwisho msichana peke yangu kati ya watoto 6.. Mzee wangu alitangulia mbele za haki hivyo tumebaki na mama tu.. hao ndugu zangu wote hawana maisha ya kueleweka isipokuwa mmoja tu angalau yeye ameajiliwa serikalini ndio kidogo anaibeba familia, yeye ameshaoa ana familia yake
Mimi nimeshahitimu chuo nina kama Miaka miwili nyumbani.. nimepata sehemu ya kujishikiza wananilipa 250000.. Kwetu ni bunju nafanyia kazi magomeni kila siku natumia 5000 yaani 3000 nauli 2000 nakula mchana hapo Ndio najibana mno..
Sasa kwasasa Hivi nyumbani Hakuna mtu nipo peke yangu mama ameenda kijijini kwao bibi anaumwa, mama yangu hana kazi ile ya kumtegemea anauza chupa za maji hivyo siwezi kumsumbua kwa chochote, amesafiri hajaniachia hata shilingi 100.. Hakuna chakula ndani Hakuna chochote, nachofanya nikitoka kazini nashukia kwa brother nakuta wamepika nakula naondoka
Leo nimeumia sana sijaenda kazini Nina siku 2 sina nauli hela niliokuwa nayo akiba imeisha nimemuomba bro kasema yeye hana hela hawezi kuwa anatoa hela mara mbili mbili kwa familia yake na kwangu, Kama niliweza kutafuta kazi basi nijitegemee nauli nikitaka kula nije nyumbani,, nikamuuliza sasa nitatoa wapi na Ndio naanza kazi akanijibu nitajua mwenyewe
Hiyo kauli imeniuma yaani anamaana gani kusema nipambane nitafute nauli yaani naitafutia wapi ..
Leo nimeacha kuwa judge Watu na maisha wanayoishi Kama ndugu yangu wa damu ananiambia maneno haya hao wa nnje watanijibu vipi
Ni hayo tu wakuu
Inapatikana ndaki ipii? Maana mie nilikua ndaki ya sayansi, ko huko kwingne sijui sana.Dear development studies DS haipo Udsm??
Mbona km umerudi kwa id nyingine kujitirisha huruma?KUshea ni kujali, haijalishi unacho kingi au kidogo, nimegundua humu wengi maisha yetu magumu lakini na roho ya choyo na husda tunayo
Yaani na ya kutolea tumeshatuma halafu ndio anasema kasoma course inaitwa mnaendeleaje ya jamii 😁Wee usiniambie 😀
Yan hapo n kama kajitolea tu anapata nauli tu,ila ndo mwanzoUmesomea nini chuo na katika level gani?I see mshahara wa 250k ndogo sana si mishahara wa Shamba boy au dada wa laundry.Labda kazi iwe karibu na makazi yako.
Kwan wanakutumia buku buku? Si ulipw deni na uunge salio afu ushukuru watumaji, au shda yako ndo itaisha leo mazima?Nadaiwa nikijiunga wanakata hela na hela nayotumiwa sio nyingi kiasi kwamba nikisema niunge bando basi kwa wakala nitatoaejero
Sorry.
Nyie si bado wajinga ndo maana mnapigwa tu mitandaoniOiyeyai. Kumbe njia ya muongo ni fupi. Hatoweza kukujibu.![]()
Usinikumbushe kitu em [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena unakuta kapiga ndefu [emoji23]
Mbona km umerudi kwa id nyingine kujitirisha huruma?