Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Kanunue mboga kitunda funga mafungu tembeza mtaani biashara hii unaweza ichukulia poa ila inalipa na msingi wake haizidi 30000
 
Reactions: 511
Unasubiri kazi ya kuajiliwa utakufa njaa kweli
 
😉😂 wewe unatafuta huruma kwa jamii kwasabab za kipumbavu kabisa, unapokea mshahara 250k unasema una maisha magumu? Wakat kuna watu wana familia wanalipwa 100k na hawajawah kukosa kwenda kazin... Wewe sema unataka kujiingiza ktk umalaya, shauri yako utatombw😂 uzalishwe uongoze idadi ya singo maza, uanze kuita wanaume wote mbwa wakat wew ndio mbwa koko...
Unalipwa 250k halafu huna akili unanunua chakula kilasiku kazini 2,000 😂😅😅 wee mpuuzi si jipikie nyumban vitafunwa ambavyo haviharibik ukifika kazini unakula asubuhi na mchana... Au beba kiporo utakula kazini...
Kuna watu wanafanya kazi maofisi makubwa yana mshahara mkubwa ila wanabeba chakula kutoka nyumban, wewe tatzo lako unataka kuishi kisista duu...
Nakuambia ukweli mchungu mimi sitafuni maneno, binti utatombw😅 hadi K ibaki inaning'inia kama lapulapu au dekio... Tumia akili usitumie matako kufikiri
 
Oohh kwahiyo unategemea mwanamke ambaye ana mawazo ya kidangaji ndio atakuwa mshauri mzuri wa wanawake kwenye masuala ya ndoa, yani mtu anayewaza kuwa mwanamke ameumbwa kupewa na siyo kutafuta na ni lazima awe na sponsors ndio unategemea mkiingia kwenye ndoa atakusaidia majukumu yako, basi naendelea kupata majibu ya maswali yangu ya kwanini mnapigwa na mtaendelea kupigwa kwenye hizo ndoa kila siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi najadili hoja simjadili mtoa hoja kama hoja aliyoileta ina mantiki nitakubaliana nae huo udangaji wake atajijua mwenyewe. Mwanamke akiniambia sio busara kwa mwanamke mzima wa afya kumtegemea kila kitu mwanaume hapo nitakubaliane na hii haimaniishi ya kwamba kama yeye anaishi kinyume na anachokiongea nitakubaliana nae na uko pia. Maneno ni yatahukumiwa tofauti na matendo yatahukumiwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…