Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji

Karma is a bitch wakati unaringa kuwapa mbususu waoaji uliona unajiweza nyie mbwa mnaringa sana mkiwa chuo sasa pambana na K yako iburuze utakavyo
Mkuu, umetisha sana. Masimango + matusi + hukumu + kejeli + maelekezo tata.. Dah! kwani kakukosea ww binafsi wapi? Kwani ukijipitia zako hv utapata hasara gani? Kha! Yan ni lazima utukane kiasi hicho????
kadogo2 : Pole sana, hii ndo jeiefu
 
Mtoa mada umeshachangiwa chochote!?
Maana nimeona comment xa matusi tu hapa na nadharia za kukuchukulia vibaya.
Ila madame umeshatoa namba kwa anayejali basi atakurushia na kwa asiyejali utamjua tu maneno mengi.

Ila wadau mnapomuona mtu hulalama shida basi wewe usimhoji wewe toa fanya kama umemsaidia tu yeye.
Sisi waislamu tuna kauli toka kwa Mtume wetu(s.a.w) muamini mtu hata kama asema uongo yeye atajibu kwa Allah ila wewe tumikia nafasi yako.
Ninyi toeni ACHENI KEJELI NA MBAMBAMBA NYINGI.
Malipo kwa Mungu/Allah awe anadanganya ama asema ukweli.
 
Wa kumchangia fwedha hayupo labda wa kumsumbua kwenye simu na mitongozo ya hapa na pale.
Wanaume wenyewe wa kutoa pesa hawa wanaoulizia kazi za kuandikisha wananchi kwenye daftari la wapiga kura?
Niko pale nimekaa wakimtumia
Mimi nitamchangia kama mdogo wangu
 
Jana alisema kuna watu wamemchangia.
Anhaaa basi vizuri maana nimeona kejeli kathiir kuliko utatuzi wa jambo.
Ila huyu akijiendekeza/kukaa vibaya wauni watapita nae kama kishada,asijilegeze hivyo.
 
Yupo Ulaya huyo dada ndio maana ameandika hivyo.
 
Mkuu, umetisha sana. Masimango + matusi + hukumu + kejeli + maelekezo tata.. Dah! kwani kakukosea ww binafsi wapi? Kwani ukijipitia zako hv utapata hasara gani? Kha! Yan ni lazima utukane kiasi hicho????
kadogo2 : Pole sana, hii ndo jeiefu

Jf labda uje kupiga story muda uende lkn kama una jambo lako serious ni bora upambane huko huko ama la uwe na moyo wa chuma haswa. Kuna matusi na kejeli za hela yote humu.
 
Jf labda uje kupiga story muda uende lkn kama una jambo lako serious ni bora upambane huko huko ama la uwe na moyo wa chuma haswa. Kuna matusi na kejeli za hela yote humu.
Kweli.
 
Ulisomea nini na ni chuo gani?
Nimesoma hadi page ya 4 hili swali halijajibiwa. Itoshe kusema mleta uzi kadogo2 NI TAPELI na hapaswi kuaminiwa. Katoa namba ya simu kwenye page ya 4 kwa kulazimishwa sana na watu. Mtu aliye serious angesema kasoma wapi na nini ili asaidiwe kazi na sio kuwa ombaomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…