Leo ndio nimejua kwanini wanawake wanajiingiza katika tabia za udangaji


Hakuna muamala mpk sasa
 
Unatuambia sisi ili iweje?

Unapoelekea unaenda kutiwa mimba na bodaboda.
Mkuu dunia ina mengi maisha haya huwa yanageuka ndani ya sekunde tu.

Leo unaweza ukawa unaona huna shida ukapata ujasiri wa kumjibu mwingine hovyo ila tambua kuwa hata ww pia anytime unaweza patwa na kadhia ya kimaisha pia na hao ambao ulikua ukiwabeza wakawa msaada kwako namba moja.

Maisha yana mengi mkuu tafadhali ukipata nafasi ya kumfariji mwingine basi fanya hivo kwamaana msaada sio pesa tu hata mawazo pia na faraja ni msaada.

Hujafa hujaumbika.
 
😂😂😂😂
 
Yan huwezi kuelewa yan kuna ule point unafika hamna mtu w kukusaidia kila mtu analalamika Yan Mungu tu atusaidie kw kweli
 
Umesomea nini chuo na katika level gani?I see mshahara wa 250k ndogo sana si mishahara wa Shamba boy au dada wa laundry.Labda kazi iwe karibu na makazi yako.
 
Sasa hana bill ya maji? ya Umeme? vp hapo nyumbani hajipikii? kama amepanga vp kodi ya pango halafu umesahau bando au hapigi cm? Ke wana mahitaji nyeti kila mwezi "mshahara" hilo unaliwekaje kwa mfano au
Kwani sasa hivi halipi bill ya maji na umeme? Kwani sasa hivi haweki bando?
Kodi ya Pango ataipata akiacha kulipa nauli (90k/mwezi) akipanga karibu na kazini chumba 50k anabaki na 40k.
 
A Very nice comment.
 
Mpenzi ingekuwa hivyo ni siku nyingi ningepotea.. mimi nimejikuza mwenyewe na mtaani kwetu Hakuna binti aliesoma na alietulia na asie na mtoto zaidi yangu… huko nilishapita kinachoniwazisha hapa ni hii hatua nitavukaje
Njoo nikupe kazi ila ni mkoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…