Leo ndiyo siku ambayo CCM wanahalalisha wizi wa fedha za umma kutoka hazina ya Taifa na hongo kutoka kwa mafisadi!Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.
Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.
Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.
Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.
Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.
Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.View attachment 3438986
WamelazimishwaLeo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.
Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.
Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.
Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon sio wachuuzi wa fremu.
Subiri saa 11 jioni uone balaa pale Mlimani City hawa watapachikwa jina la wadau.
Billion 100 ni uchafu tu mbele ya wafanyabiashara si ajabu zikazidi.View attachment 3438986
Kaa tayari saa11Natafuta maana ya utakatishaji fedha, ngoja niandae kalamu na karatasi....View attachment 3439099
Ila hii nchi hapana,mambo yasipobadilika itaelekea pabaya zaidiKwa ajili ya usalama wa biashara zao