Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
EheheeeHii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
Kwakweli hainihusuKwa mujibu wa TMA mvua inanyesha sehemu kubwa ya nchi. Kama mvua haina athari kwako thread hii haikuhusu,pita tu.
Acha utotoNa Land Rover 109 v8 langu sina habari.Kuna sehemu nawaonea huruma wenye vitz,ist na passo wanapata tabu kweli.
Jana niliamua kutoa msaada wa kuvuta hayo magari tena navuta gari mbili kwa mpigo.Kuna kamlima kana udongo wa mfinyanzi halafu pamechimbika.
Mshana ana Gari ngapi?Niliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006
Acha wivu wewe....
View attachment 746040
Fursa kwa wengine, mbona hata mabwanyenye wanaishi kama sisi tu!
Kumbe mikoa mingine sio tanzania!!,sawasawa..endesha vizuri sasa usije ukaingia mtaroni huko darDar ndio Tz
Hahahaha yaan weweNiliwaambia wanaume wanunue magar wakanijazia mapovu leo sasa ndo wajue umuhimu unaenda kazin umechafuka chapachapaaaa
Wadada oleweni na wanaume wenye magar jaman mateso ya nn
View attachment 746006