Embu tafuta gari banah, japo kama hiyo au mfano wa hiyoNna ka vitz hapa utakubali
Hawezi atakuwa mwizi lazima awe na kitega uchumi kingineHivi mwenye mshahara wa laki tatu na anapanga nyumba vyumba viwili na ana watoto wanasoma anaweza kumudu gari? Nisaidie mchanganuo ili kesho nilitafute mvua zikikatika.
What if mwenye Nyumba nae kaajiriwaMwenye gari anaepambana kwenye foleni ili awahi kwa mwajiri wake kumfanyia kazi ili apate kodi ya kulipa nyumba na mwenye nyumba aliyejiajiri ameamua kulala tu leo maana hakuna anaempangia shughuli zake yupi ana maisha?
Ngoja hizo Passo na Vitz zenu ziingie maji kwenye engine zizime halafu mchelewe makazini kama hamkukutana na barua za kupumzishwa kazi kama sio kufukuzwa kazi kwa uzembe.
Meona eeh!.......wenyenyumba kwa vichambo hawajambo but leo ndo wanaongoza kuomba lift!Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi?
Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Mkuu toka uvute ile VW wasio na magari hawalali kila siku mbili unawapiga vijembe
Lisalimie gari lako.
Hivi na we huna gari?Siku ya tatu leo mvua inanyesha non-stop! Ndo nimeona umuhimu wa kuoa na kua na kagari hata kama kale ka Lodi Lofa.. 😀😀😀
Shangaa na wewe!Kwani hamna mwenye gari aliejiajiri? Dua la kuku...
Sitoi lift...mamaaaeLeo kuna kazi hii mvua haiina nia njema
Wenyenyumba wamezidi midomo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha roho mbaya wewe..
Haa haaaa...afu kweli aseeHalafu unaweza kukuta nyumba nayo imejaa maji! Huu ndio muda wa kutafuta nyumba ya kupanga
Witi wanasingizia..Hivi na we huna gari?
Mbwembwe zote hizo[emoji23] [emoji23]