Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

ina maana hujamalizia mahari halafu unajifaragua hapa tutasitisha sisi iyo ndoa hujui umeishaingia kwenye ukoo wa watu8 halafu kiongozi babaV wewehujui kuwa watu8 ni baba yetu mkubwa kwanini unampa majukumu ashindwe kujiandaa kwenda kanisani yaani muondoe haraka kabla sijaja na FFU hapo haraka sana, unatushushia heshima ya baba yetu
. . . . Na saloon hiyo hiyo ndiko aliko bi harusi mtarajiwa Lady doctor anarembwa. . . . !
 
Last edited by a moderator:
protokali...
Intelijensia imeleta taarifa kuwa huko ulipo si salama kuleta helikopta...hivyo bi mkubwa tafuta bajaj ikulete ukumbini

agggh! Siji ngoja niwahi bathidei ya kuleee nlkoalikwa
 
baba v mi ninakajiswali kamoko kwako...mana nimeskia ukitaka mke hapa cc uambiwe wewe, so na mi nauliza vp na mimi nikitaka mke hapa taratibu ni zipi za kufuata? Mana tumechoka kurushana roho hapa kila siku hao hao tu ebo! Jukwaa letu sote hili alaa! Ni hayo tu mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…