Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
yani hata mwenyewe siamini. Ahsante kaka ntatia nyama sasa
kwa lisk yako lakini usije nipigia kelele
yani hata mwenyewe siamini. Ahsante kaka ntatia nyama sasa
hivi hujui besidei yafanyika pamoja na harusi...hehehe!!
Mhh! Nakuambia usije kabisa harusini Mamndenyi pia na Mamzalendo asitie mguu.
kwa lisk yako lakini usije nipigia kelele
baba v mi ninakajiswali kamoko kwako...mana nimeskia ukitaka mke hapa cc uambiwe wewe, so na mi nauliza vp na mimi nikitaka mke hapa taratibu ni zipi za kufuata? Mana tumechoka kurushana roho hapa kila siku hao hao tu ebo! Jukwaa letu sote hili alaa! Ni hayo tu mwenyekiti
Mi nakuombea tu ukose nguvu za tendo la ndo hadi huyo shost azimie.
mayoooo!! Ngoja nchkue bajaji nijee!
Amani kwenu wanajamvi, natumai mu wazima na mnasonga vyema kwa uwezo wake Labana. Ni asubuhi tulivu siku ya jumamosi ya tarehe 06/07/2013 watu tumenyuka vyuti (ndio uwingi wa suti) vyetu na tai tukiwa na nyuso za furaha huku wale wenye chuki wakigumia kwa vilio vya kwikwi na macho ya kutokuamini kinachotokea..... Naam ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ambapo kijana Arushaone na binti Lady doctor watapanda altareni na kwa kauli moja watasema REST IN PEACE UKAPERA......
Nikiwa kama mwenyekiti wa mahusiano na ndoa ningependa kutoa wito (kama sio ONYO) kwa wale wote waliokuwa wanajiita sijui wake, mara wachumba,mara hawara wa Arushaone wakiongozwa na vibibi Madame B na Mamndenyi washike adabu zao japo kwa siku ya leo ambapo MKE HALALI anachukua nafasi yake katika Himaya ya Arushaone... , Na vile vidume vilivyokuwa kwenye foleni ya kukaguliwa na Lady doctor wakae kando kwanza wakati mkaguzi mwingine Evelyn Salt anamalizia mazoezi ya ukaguzi kule gym ya jukwaa la chini....
Peoples...!!! baba kapata mama na mama kapata baba..... tuwaombee wanandoa hawa kila la heri....
Wapi ladyfurahia atuanzishie pambio, ODM babu Asprin na kati ya maternity ward tunakutegemea kwa ajili ya picha mjongeo na picha mnato.... Nasaha zitatolewa na nyani mzee aliyekwepa mishale mingi babu DC Dark City.... sina uhakika kama Mtambuzi amesharudi toka kwa wagogo(duru zinaripoti kuwa amepata kajikuku ka kienyeji) naamini watu8 atasimamia vyema masuala ya protokali....
copy: Bishanga Slave, Erickb52, -@measkron, King'asti, snowhite (wewe nakudai ujue) Mentor marejesho , Filipo , Mamzalendo , .................!!!!!!!!!!!!!
Tupo pamoja....
Asije akaweka kipingamizi ukakikosa kiwowowo bureeMhh! Nakuambia usije kabisa harusini Mamndenyi pia na Mamzalendo asitie mguu.
mkuu hongera zenu, bt hiyo limo yenu imepata dereva? Nipo hapa kama mtahitaji prof. Driver
Hiyo harusi sijawahi haikutangazwa mara 3 kanisani, au huyo paroko kala cha juu.
Vipimo vya ngoma hatujatoka mbona!
Excuse me?!
Hehee
Is it serious????