Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
nami ni wako daima
Nami ni wako daima...mmwaaah!
nami ni wako daima
nafurahi sana kuona ukiolewa na Arushaone labda kama unaswali lolote uniulize..
Nipo hapa sasa kwa ajili ya hilo...
hayo magenda ugaluke hayafai kwa matumizi ya binaadamukwanini kaka
nakushukuru pia kwakuwa nasi kwenye hii harusi, kwasasa sina swali kuhusu mume wangu kipenzi
Nami ni wako daima...mmwaaah!
Mwaah!! I love you sana! Kiapo cha pale kanisani sitokivunja.
uliza sasa..
sina cha kuuliza
asante sana pacha, final nimekuwa mke halali wa Arushaone wale waliojidai wakeze bandia sasa wakae mbali na hubby wangu.....!
Halafu mbona mumeo simsomi pacha? Kwanini ananionea wivu kiasi hiki?
basi ishia zako huko...
hahahaaa ulikuwa unataka kunijaza umbea? Hapa umegonga mwamba mwana!!
mi nahisi shemejio siku hizi anatumia cha arusha
huoni kaja kanisani na t-shirt na jinsi wakati nilimuandalia
suti ndio nikaja saluni muda ule?msamehe tu!!