Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​labda nimwambie Bishanga amkanye!!ndiyo na mie nashangaa, mumeo kuvaa t shirt na jeans kanisani,
mwambie haache kuvamia mmea utamchizisha atiii
Last edited by a moderator:
​labda nimwambie Bishanga amkanye!!ndiyo na mie nashangaa, mumeo kuvaa t shirt na jeans kanisani,
mwambie haache kuvamia mmea utamchizisha atiii
Mbona mie sijaalikwa???
​labda nimwambie Bishanga amkanye!!
hata mimi Arushaone na Lady doctor hawajanialika
hapana nakupenda bado hakuna wivu mkali tunaoupata wanaume kama pale wapenzi tunaowakacha wakiolewa na wanaume wengine yaani ukitaka kumchoma roho mwanaume wako wa zamani mwalike kwenye harusi yakojamani jamani jamani!!!!! We si ulisema niende zangu nikuachie picha uendelee na game!!!!!! Sasa kipingamizi cha nini?
Kwanza umechelewa ndoa imeshafungwa
hapana nakupenda bado hakuna wivu mkali tunaoupata wanaume kama pale wapenzi tunaowakacha wakiolewa na wanaume wengine yaani ukitaka kumchoma roho mwanaume wako wa zamani mwalike kwenye harusi yako
mkuu nshapigwa cha uso hapo sina changuuHahahaa daaaah
hawajafunga ndoa mkuu wamefanya harusi zinaweza kuwa zaidi ya moja lolSasa naona wewe wataka litia togwa nzi...watu washaenda honeymoon Maldives!
hahaha mkuu nina pingamizi la haki mmefanya harusi si ndoa
Please wapitie kina The Boss, Mrembo by Nature DJ wetu BAK kabanga Yericko Nyerere gfsonwin Kipipi uje nao mkuu.
Safari ya wapi tena?
Umechelewa sherehe ya harusi hivyo...huo ulikuwa mwaliko