Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Bwana harusi , Arushaone kwa kuninyima kwako mwaliko, nikueleweje? Au bado wampenda mke wangu?
Japo siamini sana kama hilo lipo!
Btw siamini pia waweza oa mie nisipate inviteshen!
 
Last edited by a moderator:
^^
Lady doctor Ma best
Hongera sana.
Karibu Arusha,,ukifika nipungie hata mkono nipo hapa Njiro
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Lady doctor Ma best
Hongera sana.
Karibu Arusha,,ukifika nipungie hata mkono nipo hapa Njiro
^^

asante sana best yangu Himidini.
Kwa maana natumia usafiri wa anga nikikaribia maeneo ya kwenu nitakupungia mkono, so itabidi macho yako yawe juu muda wote.... Sawa!
 
Last edited by a moderator:
nakusubiri utoke honeymoon mume wangu halafu Baba V na wewe tutazungumza na hapo habari ya wanao sahau kabisa nawaambia baba yao kashakufa hivyo wasiulizage kabisa huwezi nifanyia mimi hivi

hahahaaa mtajicarry mwaka huu....!!!!!!!! Kumbe bado mwampenda lol!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa mtajicarry mwaka huu....!!!!!!!! Kumbe bado mwampenda lol!!!!!

mh mama usijiamini aliyetangulia katangulia tu mpenzi na wewe una nini cha kumkamata asiende kwa mwingine...mie simtaki tena ila nataka tu ajiamini aje hapa aseme hanitaki tena na sababu za msingi
 
mh mama usijiamini aliyetangulia katangulia tu mpenzi na wewe una nini cha kumkamata asiende kwa mwingine...mie simtaki tena ila nataka tu ajiamini aje hapa aseme hanitaki tena na sababu za msingi

eti nna nini....... Ngoja Arushaone aje akuambie kilichomfanya adate namimi na asifurukute kamwe.

Ukiona ndoa imefungwa jua kuwa hamtakiwi tena...!!
 
Last edited by a moderator:
nakusubiri utoke honeymoon mume wangu halafu Baba V na wewe tutazungumza na hapo habari ya wanao sahau kabisa nawaambia baba yao kashakufa hivyo wasiulizage kabisa huwezi nifanyia mimi hivi

Mamzalendo hebu angalia join date zetu hapo juu afu ndo hayo maongezi mengine yatafuata..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom