Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Nami ni wako daima...mmwaaah!
Khaa!! unauza uhuru wako at very cheap price. Mnapunguza uwezo wenu wa decision making down to 50%. Japo in the first 6months ratio ni 8:2 baada ya miaka 3 ni 1:1. kati ya miaka 5 hadi 10 ni balaa tupu na mkiweza kupita hapo labda mtaanza kuona utamu wa ndoa baada ya kufikisha miaka 40 au 45 ya ndoa kwa maana nzuri kila mmoja wenu atakuwa na zaidi ya miaka 60 hivi. Sasa kwanini msisubiri umri huo ukifika ndiyo muoane?? Au kwanini msiwe na ndoa ya mkataba wa mwaka mmoja au kipindi fulani na uwe renewable kwa maridhiano ya wote wawili?? what if u meet someone aliyemzidi mwenzi wako?? Mnadhani mnakwenda kwenye jela ya mapenzi for life?? Noooo hiyo ni jela ya ndoa for life.. na mtakoma ubishi:whistle:

cc Lady doctor
 
eti nna nini....... Ngoja Arushaone aje akuambie kilichomfanya adate namimi na asifurukute kamwe.

Ukiona ndoa imefungwa jua kuwa hamtakiwi tena...!!

haya mwambie aseme kwa mdomo wake hanitaki usimsemee moyo wake dear...mwambie basi amwagike
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! unauza uhuru wako at very cheap price. Mnapunguza uwezo wenu wa decision making down to 50%. Japo in the first 6months ratio ni 8:2 baada ya miaka 3 ni 1:1. kati ya miaka 5 hadi 10 ni balaa tupu na mkiweza kupita hapo labda mtaanza kuona utamu wa ndoa baada ya kufikisha miaka 40 au 45 ya ndoa kwa maana nzuri kila mmoja wenu atakuwa na zaidi ya miaka 60 hivi. Sasa kwanini msisubiri umri huo ukifika ndiyo muoane?? Au kwanini msiwe na ndoa ya mkataba wa mwaka mmoja au kipindi fulani na uwe renewable kwa maridhiano ya wote wawili?? what if u meet someone aliyemzidi mwenzi wako?? Mnadhani mnakwenda kwenye jela ya mapenzi for life?? Noooo hiyo ni jela ya ndoa for life.. na mtakoma ubishi:whistle:

cc Lady doctor

Wewe Rohombaya umetutokea wapi humu? Afu nakufananisha na jamaa mmoja hivi anaitwa matumbo sura zenu kama kurwa na dotto

jionee mwenyewe.....

avatar48016_3.gif
 
Back
Top Bottom