Leo ndo Leo...., Arushaone na Lady doctor mbele ya baba paroko... Ndoa hiyooo...!!!!!

Mkuu Arushaone nimechelewa sana kuona huu mwaliko,kwa kweli nimejisikia vibaya sana kukosa huu uhondo.Ila nashukuru sana kwa mwaliko mkuu.
 
nini kimejiri huko hakuna pingamizi lolote lililotolewa........if no,honeymoon yenu wapi.......
 
Amani kwenu wanajamvi, natumai mu wazima na mnasonga vyema kwa uwezo wake Labana. Ni asubuhi tulivu siku ya jumamosi ya tarehe 06/07/2013 watu tumenyuka vyuti (ndio uwingi wa suti) vyetu na tai tukiwa na nyuso za furaha huku wale wenye chuki wakigumia kwa vilio vya kwikwi na macho ya kutokuamini kinachotokea..... Naam ni siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ambapo kijana Arushaone na binti Lady doctor watapanda altareni na kwa kauli moja watasema REST IN PEACE UKAPERA......
Nikiwa kama mwenyekiti wa mahusiano na ndoa ningependa kutoa wito (kama sio ONYO) kwa wale wote waliokuwa wanajiita sijui wake, mara wachumba,mara hawara wa Arushaone wakiongozwa na vibibi Madame B na Mamndenyi washike adabu zao japo kwa siku ya leo ambapo MKE HALALI anachukua nafasi yake katika Himaya ya Arushaone... , Na vile vidume vilivyokuwa kwenye foleni ya kukaguliwa na Lady doctor wakae kando kwanza wakati mkaguzi mwingine Evelyn Salt anamalizia mazoezi ya ukaguzi kule gym ya jukwaa la chini....

Peoples...!!! baba kapata mama na mama kapata baba..... tuwaombee wanandoa hawa kila la heri....
Wapi ladyfurahia atuanzishie pambio, ODM babu Asprin na kati ya maternity ward tunakutegemea kwa ajili ya picha mjongeo na picha mnato.... Nasaha zitatolewa na nyani mzee aliyekwepa mishale mingi babu DC Dark City.... sina uhakika kama Mtambuzi amesharudi toka kwa wagogo(duru zinaripoti kuwa amepata kajikuku ka kienyeji) naamini watu8 atasimamia vyema masuala ya protokali....
copy: Bishanga Slave, Erickb52, -@measkron, King'asti, snowhite (wewe nakudai ujue) Mentor marejesho , Filipo , Mamzalendo , .................!!!!!!!!!!!!!

Tupo pamoja....

mwenyevyuti or sorry mwenyekiti habari yako mkuu......nini kimejiri huko hakuna walioshikana ugoni huko.......
 
hapana nakupenda bado hakuna wivu mkali tunaoupata wanaume kama pale wapenzi tunaowakacha wakiolewa na wanaume wengine yaani ukitaka kumchoma roho mwanaume wako wa zamani mwalike kwenye harusi yako

pole, maana nilisha livua pendo.
 
Nipo hapa mjengoni tayari nimepiga suti matata...pembeni yangu nipo na wa ubani wangu measkron kushuhudia tukio hili kwa ukaribu.

Hili ni tukio muhimu sana pale ambapo Arushaone na Lady doctor they walk along the isle and each say.... I do... karibuni sana kwenye raha ya maisha ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom