Mi nakuombea tu ukose nguvu za tendo la ndo hadi huyo shost azimie.
una matatizo ya kisaikolojia ngoja nimwite babu Asprin akukkague yaelekea ujakaguliwa wewe ndo mana una kinywa kichafu
Please wapitie kina The Boss, Mrembo by Nature DJ wetu BAK kabanga Yericko Nyerere gfsonwin Kipipi uje nao mkuu.
Nashukuru san kwa ujio wenu ktk harusi yangu na Arushaone, ila naomba mnisamehe kwa kuchelewa kufika eneo la tukio maana nilichelewa kutoka saloon.
Nipo tayari sasa kuwa mke rasmi wa Arushaone
Please wapitie kina The Boss, Mrembo by Nature DJ wetu BAK kabanga Yericko Nyerere gfsonwin Kipipi uje nao mkuu.
Idara ya usalama hapo harusini inijuze kama Evelyn Salt yupo free of charge nahudhuria harusi hii
Mm ni wako 4ever!!
Uhuuuuuii Lady doctor ndo waolewaa wowowo hilo uwiiiiiiiii nimelikosa
Wamenijulisha usalama uko wa kutosha, Evelyn Salt yuko salama mkuu.
Arushaone ndio mmiliki halali, we endelea kupiga nyeto
Objection mr chair person Lady doctor ni wangu mpaka nampigia puli
Asante kwa taarifa mkuu
jamani jamani jamani!!!!! We si ulisema niende zangu nikuachie picha uendelee na game!!!!!! Sasa kipingamizi cha nini?
Kwanza umechelewa ndoa imeshafungwa
Mkuu Arushaone[/URL][/B] hii kazi naifanya kwa heshima kubwa niliyokuwa nayo kwako. Pamoja na kupenda sana muziki ]hii kazi wala hainihuuuuu
Hata usiponitaja blue list inakungoja
Ahsante sana mkuu...nashukuru.