#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

Nilikua nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikua ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa. Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa.....
Pole kwa kufiwa,
 
Wabongo sisi nimatomaso bila kukumbwa kwanza kuamini ngumu

nilipita juzi ferry niliogopa watu wamejazana jumba la kusubiria magogoni MV ,wenyebarakoa wawili harafu kunatangazo linaendelea vaeni barakoa
Walinzi wapo

Unaishia kusema mungu ,basi
Wa kulaumiwa Ni mwendazake kaharbu Sana
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu...
Ili uamini zaidi, kuwa COVID-19 ipo na inauwa fika mortuary za KCMC na Mawenzi hospital Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Pole kwa kufiwa na mama mkubwa,ila hapo kwenye gloves rekebisha Makati,gloves ni carrier za corona,ujanja hapo ni kunawa mara kwa mara kwa sabuni na maji tiririka,ukivaa gloves utatembea na hao wadudu mchana kutwa mikononi kwako,unakuwa kwenye risk ya kuwapata.

Mfano umeshika bomba la juu la kwenye daladala na gloves zako au umeshika hand rail ya ngazi sehemu yeyote then unapungua ofisini kwako unaanza kuvishika vitu vingine na kuzidi kusambaza hao wadudu, solution ni kunawa mara kwa mara.
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu...
Huwa nawambia huku jamii forum wanaobisha labda hawajakumbwa au kuuguza mgonjwa wa covid lkn yakikupata huwezi kubisha kua haipo
 
Back
Top Bottom