#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

#COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

Mimi nauguza mgonjwa wa covid, yaani ni full kujitoa mhanga, maana unachukua tahadhari lakini mambo yanakuw magumu, mazingira yanakulazimisha kuishi kawaida maana mentality aliyoiacha mwenda zake inatesa sana watu, yaani kuna wakati unaonekana kama unamnyanyapaa mgonjwa.
 
Ukienda msibani usiende KIZEMBE vaa barakoa na tafuta sanitizer ya kusafishia mikono ukiwa msibani.
Tulienda msiban huko mwanza-ukerewe na barakoa zetu na sanitizer za kutosha Ila tulipofika Tu msiban walitunyanyapaa na barakoa zetu mpaka tulivua...Kwa maeneo ya vijijini ni vigumu Sana kuwaelimisha juu covid-19
 
Mlifanya makosa makubwa kuzivua. Ukifa ndiyo imetoka hiyo ni bora wakunyanyapae lakini unajua fika kwamba unalinda uhai wako.

Tulienda msiban huko mwanza-ukerewe na barakoa zetu na sanitizer za kutosha Ila tulipofika Tu msiban walitunyanyapaa na barakoa zetu mpaka tulivua...Kwa maeneo ya vijijini ni vigumu Sana kuwaelimisha juu covid-19
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.
Mfano mzuri. Huo ni utamaduni wa Kiafrika.Sisi taratibu zetu za mipango ya maisha hutegemea matukio au uhitaji, yani tupo phenomenological. Unakunywa maji pale unaposikia kiu, unakula tunda pale unapoliona n.k. Kwa maana nyingine ni vigumu kupanga ama kufikiria yajayo.

Kwahiyo, kwa mbongo, kumwambia kitu X ni hatari, hata kama vimethibitishwa kisayansi, ni mpaka aone ama vimkute. Hata maradhi kama UKIMWI, na yale yasioambukizwa kama kisukari na kansa, kwakuwa athari zake ni za miaka mingi kutokea basi ni ngumu kwa wabongo kuchukua tahadhari. Korona ikikaa hapa kama ilivyofanya India, wala serikali haitohitaji kutangaza, utaona jinsi wenyewe tunajidhibiti.
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu
Pole ila ni kawaida ya WaTzn ni mpaka yatufike ndio tunaamini
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu
Madalali wa chanjo mnaoata tabu sana 😂😂
 
Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.

Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu. Yaani nimepigiwa simu jana saa nne usiku naambiwa mama yako mkubwa anaumwa kifua kimembana na vichomi tunampeleka hospitali, nikachukulia kawaida tu. Kufika saa saba na nusu usiku watu wanapiga simu wanalia amefariki.

Nimefika msibani tena naambiwa watoto wake wawili wamelazwa hospitali wapo hoi kwa tatizo hilo hilo la vifua kubana na vichomi. Aise ikabidi nitoke kimya kimya kwanza kwenda kununua barakoa za kutosha na groves kabisa maana ni hatari.

Covid ipo ndugu zangu ni hatari na inaua ghafla ghafla kabla hata hujatubu dhambi zako. Take care chukua tahadhari.

Safi, waelezee wajinga wajinga wengine humu, uzuri wa Covid huwa inaanza na wale wabishi, mfano Nkurunziza, etc...
 
Back
Top Bottom