Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Pole kwa kufiwa,Nilikua nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikua ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa. Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa.....
Wa kulaumiwa Ni mwendazake kaharbu SanaWabongo sisi nimatomaso bila kukumbwa kwanza kuamini ngumu
nilipita juzi ferry niliogopa watu wamejazana jumba la kusubiria magogoni MV ,wenyebarakoa wawili harafu kunatangazo linaendelea vaeni barakoa
Walinzi wapo
Unaishia kusema mungu ,basi
Nani kakulazimishaNdiyo ugonjwa upo na hakuna anaye bisha lakini kulazimishana ndo haitakiwi
Du pole aiser mi kuna mtu wangu wa karibu ye na mama yake wamefariki ndani ya mwezi huuNi Dodoma mkuu
Ili uamini zaidi, kuwa COVID-19 ipo na inauwa fika mortuary za KCMC na Mawenzi hospital Mkoa wa Kilimanjaro.Nilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.
Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu...
Asee huko ni balaaMoshi au mwanza
Watu watatu nyumba moja wote wabanwe na vifua bado unasema coincidence?Not every coincidence is covid19 related.
Pole sanaNiko Mbeya na niko kitandani I'm suffering the pandemic!
Ahsante.Pole sana
Dodoma hali ni tete. Takwimu watupe takwimu, wao ndio kisheria wanapaswa kufanya hivyo. Vinginevyo ukizitoa wewe utaishia lupango.Ni Dodoma mkuu
hospital kubwa zote huwa zinajaa maiti. sio mfani sahihi huo.Ili uamini zaidi,kuwa COVID-19 ipo na inauwa fika mortuary za KCMC na Mawenzi hospital Mkoa wa Kilimanjaro.
Huwa nawambia huku jamii forum wanaobisha labda hawajakumbwa au kuuguza mgonjwa wa covid lkn yakikupata huwezi kubisha kua haipoNilikuwa nachukulia poa hii kitu. Yaani kuvaa barakoa na kunawa sijui mikono ilikuwa ni mpaka nione kuna ulazima au kulazimishwa.
Mfano nikienda hospital ni mpaka nione watu hawaruhusiwi kuingia bila barakoa ndo na mimi nitanunua na kuvaa. Ila sasa yaliyotokea leo ndugu zangu nimenyoosha mikono juu...
We jamaa wewe, endelea kukaririMoshi au mwanza