kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
- imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa.
- usipotekeleza maelekezo hata kama ni maovu kibarua mashakani.
- polisi kuwekwa rumande na seniors wao kwa kutofuata maelekezo ni jambo la kawaida.