Hawana kosa lolote ni uonevu wa PolisiccmWaumini wa kanisa la ufufuo kosa lao ni lipi mkuu mpaka wapigwe vile

Watakuwa ni wakoloni toka DodomaKuna wakati niliingiwa na fikra kuwa labda hao askari sio wakristu kiimani... Sio kwa kichapo kile.
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali ni kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa ibirisi wa ccmFafanua mkuu.
Mahakama inasema serikali haijafungia kanisa.
Kanisani polisi wametanda NI marufuku kuingia kanisani kufanya Ibada.
Hao VIONGOZI unataja Kwa bold 👆 NI akina Nani?
Amri gani? Kufungia imani kwa njia haramu za kishetani ni Amri halali?Tusiwalaumu tu askari, hata raia wanakosea sana kwa kutokufuata amri ya viongozi wao.
Why leo tu ndio wafuasi wafanze vurugu?-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
-Hebu wale polisi waliotumwa kuzuia watu wasiahudu. They have no option isipokuwa kutii kupiga watu wasio hatia. Wanashambulia na kuumiza waumini bila kosa lolote na wao wanajua hilo,
- imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa.
- usipotekeleza maelekezo hata kama ni maovu kibarua mashakani.
- polisi kuwekwa rumande na seniors wao kwa kutofuata maelekezo ni jambo la kawaida.
-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
-Hebu wale polisi waliotumwa kuzuia watu wasiahudu. They have no option isipokuwa kutii kupiga watu wasio hatia. Wanashambulia na kuumiza waumini bila kosa lolote na wao wanajua hilo,
- imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa.
- usipotekeleza maelekezo hata kama ni maovu kibarua mashakani.
- polisi kuwekwa rumande na seniors wao kwa kutofuata maelekezo ni jambo la kawaida.
Huwezi kuelewa kirahisi!!! Maswali kama hayo ukishajiunga na jeshi yataishia kwenye lango la kuingilia!!!Sasa unakuwaje siyo raia wakati tunaishi nawe huku uraiani
Ndiyo maana qualification kujiunga lazima uwe F4 failure-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.