Teh teh teh 😄 program Yao ya Kwanza NIkukutoa uraia 😁Ndo maana ukienda kule wanakutoa hali ya kuwa raia na kukufanya uwe askari!!
Ndio maana kazi ya u Polisi ni kazi ya laana, na ya watu mbumbumbu-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.
-Hivyo inakubidi kutekeleza hata maelekezo ambayo unajua fika si haki na ni uonevu na uovu
-Hebu wale polisi waliotumwa kuzuia watu wasiahudu. They have no option isipokuwa kutii kupiga watu wasio hatia. Wanashambulia na kuumiza waumini bila kosa lolote na wao wanajua hilo,
- imagine unaamriwa umshambulie na kumuumiza mtu asiye na kosa lolote kwani ni amri imetolewa.
- usipotekeleza maelekezo hata kama ni maovu kibarua mashakani.
- polisi kuwekwa rumande na seniors wao kwa kutofuata maelekezo ni jambo la kawaida.
Naam unavuliwa uraia kwanza!!! Mengine yanafuata hapo ni kutii amri tuu hamna maswali!!Teh teh teh 😄 program Yao ya Kwanza NIkukutoa uraia 😁
Fafanua mkuu.Tusiwalaumu tu askari, hata raia wanakosea sana kwa kutokufuata amri ya viongozi wao.
Usichoelewa hapo ni kitu gani?Hebu weka hoja yako ieleweke mkuu
Hii kazi nilikata mapema Sana nilijua Tu sio nzuri 😁ni kama mbwa kutii amri ya mfugaji.
Polisiccm wote walioshiriki uonevu wanaishi maisha Duni kwenye mabanda ni wala Rushwa watalaaniwa na wote watafukuzwa kazi kwa laana-inabidi utii amri hata ikibidi kufanya mavu kwa kadri ya kiapo chako.