Leo ndo nimeamini kazi ya upolisi ni kazi ngumu sana

Fafanua mkuu.

Mahakama inasema serikali haijafungia kanisa.

Kanisani polisi wametanda NI marufuku kuingia kanisani kufanya Ibada.

Hao VIONGOZI unataja Kwa bold 👆 NI akina Nani?
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali ni kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa ibirisi wa ccm
 
Why leo tu ndio wafuasi wafanze vurugu?
 

Kwa TZ kuwa polisi ni kula kiapo cha kurumikia Chama Cha Mashetani!
 
Police Wanao tumwa wengi wao ni vibarua wa jeshi la polisi, maana mtumishi wa jeshi anae tambulika hasa ni kuanzia Assistant inspector of police,chini ya apo kufukuzwa ni rahisi saaaaana
 
Ndiyo maana qualification kujiunga lazima uwe F4 failure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…