Leo ni Bunge la Wanaume watupu, wabunge wanawake wanahudhuria mkutano wa Rais Samia

Leo ni Bunge la Wanaume watupu, wabunge wanawake wanahudhuria mkutano wa Rais Samia

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Bunge la CCM ,nashangaa mtu anaposema itikadi,nyote ni ccm itikadi yenu ni ya kiccm nyi leo kulaneni nyama tu,ccm oyee.
 
Ni muhimu sana Mama aseme neno tuachane na aibu vifo kina Mama kwa ukosefu vifaa tiba.Ikibidi tucheleweshe baadhi miundombinu tufute aibu kuwaheshimu kina Mama na watoto.
 
Kumbe wanaopigaga makofi na mbwebwe za furaha nyingi ni wabunge wanawake, naona pia bunge limekosa harara, kumetameta, haliko charged kivile, jamani jinsia moja kumbe haifai katika kuleta chachandu na shamrashamra, yaani sawa na wali bila nazi.. Basi tuwaunge mkono sanaaa wanawake walau wafikie hata 50/50 ikishindikana hata 40%/60%.. Wanawake muhimu sanaaaa sanaaa nimeona leo aisee.. Bunge liko kama Baba yuko pekee yake nyumbani, mama kasafiri, basi ukimyaaaa umetawala, nuru haiko kivilee, kumepoozaa.. Hakika wanawake Mungu kawapa mpako wa kipekeee, wanaume sio kitu kabisaa bila wanawake. Mungu mbariki sana Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan na wabariki wanawake wote dunia nzima. Amen. 🔰💛💚👏👏🙏🙏🙏 Kazi iendelee
 
Ni muhimu sana Mama aseme neno tuachane na aibu vifo kina Mama kwa ukosefu vifaa tiba.Ikibidi tucheleweshe baadhi miundombinu tufute aibu kuwaheshimu kina Mama na watoto.

Akili za majambioni hizi, Pesa sio kila itafanya, Ifike hatua Mtumie na akili, sasa miradi ikisimama kisa vifo unafikiri ndo hivo vifo vitaisha
 
Bunge la 12 Mkutano wa 3 Kikao cha 47 kinaendelea leo bila uwepo wa wabunge wanawake ambao wameelekea ukumbi wa Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa Wanawake wote bila kujali itikadi na Rais wa JMT mh Samia.

Hakuna kupigiana makofi waka mbwembwe zozote ni moja kwa moja kwenye mada.

Pia soma > LIVE - Dodoma: Rais Samia kufanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete
Duuu, hata bunge lenyewe sifuatilii hivyo sijui tofauti ya bunge hili likiwa na wanawake, au likiwa halina. Bunge la majizi ya kura bana.
 
Back
Top Bottom