Leo ni: HESHIMA JUU kwa WANAWAKE!

The Following 27 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1
(Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tumain (Today)




Xspin leo kaweka rekodi mpya....hao malaika na wadumu tu kukuongoza...
 
yaah!
vipi wewe?upo
HONGERA KWA KUWA MWANAMKE
 
He! Kwakweli lazima nikiri ukweli, huu mchakamchaka umenitoa nishai! Itabidi nirudi nyuma nifwatilie posti moja baada ya nyingine! Hii inaonyesha jinsi wanawake wanavyoheshimiwa! Ntawagongeeni senksi mmoja baada ya mwingine si kwasababu ya yuziful posti mlizochangia bali kwa heshima ya wanawake ninaowathamini sana!
 
yaah!
vipi wewe?upo
HONGERA KWA KUWA MWANAMKE

yaah! Kwakweli Shishi ni miongoni mwa wanawake mnaowaheshimu sana hapa jamvini. Mabandiko yake yanaonyesha jinsi alivyo mwanamke bora! Hongera Shishi, endelea kuwa mwanamke bora!
 

Thanks Shishi! Na wewe hongera kwa kuwa mwanamke mwenye heshima! Please be a good mama, hiyo ni heshima tosha sana kwa mwanamke!
 
yaah! Kwakweli Shishi ni miongoni mwa wanawake mnaowaheshimu sana hapa jamvini. Mabandiko yake yanaonyesha jinsi alivyo mwanamke bora! Hongera Shishi, endelea kuwa mwanamke bora!
naona mzee ulikimbia gesti kidogo......!πŸ˜€
 
yaah!
vipi wewe?upo
HONGERA KWA KUWA MWANAMKE


Nipo baba kabisa leo namgotea Xspin kabisaaaaa..... senksi alot for recognising my strength as a woman!!!! sijui mwenzetu kaamkia upanae upi coz naona aendelee tu kuamkia upande huooooooo
 
yaani we acha nimecheka kwa huzuni....ati kumbe wanafanya hayo mambo yoote coz they know we will forgive and forget......

Mshukuru Mungu japo kwa hilo! Kusamehe na Kusahau ni karama ambazo mwenyezi Mungu amempatia mwanamke kwa asilimia nyingi sana ukilinganisha na mwanamme! Usicheke kwa huzuni Shishi, Mungu alikuumba mwanamke kwa mpango wake! Kusahau na kusamehe kutakupatia thawabu Mbinguni! Ole wetu sisi wanaume ambao hatujajaliwa hivyo vitu! Heshima kwenu Wanawake!
 

NOTED WITH MANY THANKS!
Slogan ya mchumba 2010: 2010 Niko kimaadili zaidi.
 
Nipo baba kabisa leo namgotea Xspin kabisaaaaa..... senksi alot for recognising my strength as a woman!!!! sijui mwenzetu kaamkia upanae upi coz naona aendelee tu kuamkia upande huooooooo
naona yaliyomkuta makubwa!
INAONEKANA ALINUSURIKA KUIFUATA ILE NJIA YA MC-LEMA......!πŸ˜€
 
Thanks Shishi! Na wewe hongera kwa kuwa mwanamke mwenye heshima! Please be a good mama, hiyo ni heshima tosha sana kwa mwanamke!

ooooooooooouchhhhh mmnh senksi alot my dear ( nani kakwambia mi ni mwanamkeπŸ˜€)
 
ooooooooooouchhhhh mmnh senksi alot my dear ( nani kakwambia mi ni mwanamkeπŸ˜€)
HEHEHEHEHE!
we unachekesha sana.....
waambie orijino-comedi wakuajiri
 
Nasikia kuna kamgomo baridi kananukia kwa wanawake, wakigoma kudo sijui itakuwaje?
 
deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?
 


soo true my dear just imagine a world without women...hakungekalika!
 
deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?[/QUOTE]


Fidel80
 

Hahaha! Leo hamna off topiki! Ni Heshima to Wanawake Day!
Thanks Mj1! Pia ana heri aliyekuzaa wewe
Na wewe una heri kama aliyekuzaa
Wana heri wenye jinsia yako
Nawaheshimuni sana!
Leo nimeamua kuwaonyesha feelings zangu kwenu.
Kuwa NAWAPENDA NA NAWAHESHIMUNI SANA!
Tuko karibu si ki-elekronika tu! Bali ki nafsi pia! Wanasema mkiwa karibu kinafsi, hakuna nguvu inayoweza kuvunja umoja huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…