Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Masikini wanawake pole zetu
Duh we she/he majina mengine bana unaweza ukakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini wanawake pole zetu
yaah!The Following 27 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1(Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tumain (Today)
Xspin leo kaweka rekodi mpya....hao malaika na wadumu tu kukuongoza...
The Following 27 Users Say Thank You to Chrispin For This Useful Post: Remove Your Thanks akili kichwani (Today), Babra (Today), bht (Today), Bujibuji (Today), carmel (Today), Fidel80 (Today), FirstLady1(Today), Geoff (Today), George_Porjie (Today), gkundi (Today), JS (Today), klorokwini (Today), Lily Flower (Today), MjasiriamaliShupavu (Today), MwanajamiiOne (Today), Next Level (Today), Ngongo (Today), Nguli (Today), NPL (Today), Preta (Today), Pretty (Today), Prodigal Son (Today), Shishi (Today), SMU (Today), Soulbrother (Today), Sumbalawinyo (Today), Tumain (Today)
Xspin leo kaweka rekodi mpya....hao malaika na wadumu tu kukuongoza...
naona mzee ulikimbia gesti kidogo......!😀yaah! Kwakweli Shishi ni miongoni mwa wanawake mnaowaheshimu sana hapa jamvini. Mabandiko yake yanaonyesha jinsi alivyo mwanamke bora! Hongera Shishi, endelea kuwa mwanamke bora!
yaah!
vipi wewe?upo
HONGERA KWA KUWA MWANAMKE
yaani we acha nimecheka kwa huzuni....ati kumbe wanafanya hayo mambo yoote coz they know we will forgive and forget......
Kuna tukio nililiona jana:
Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
IMAGINE:
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!
UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!
UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.
UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!
CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, mtarimbo umesimama, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza (Wengine wana mamitarimbo ya kufa mtu, sasa imagine hujamuandaa: LOL) Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!
UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!
UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!
Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!
HIVI INGEKEWA WANAUME TUNAFANYIWA HIVI INGEKUWAJE?
Kwa leo acheni tu niwape heshima zao wanawake wote:
I SALUTE AND LOVE THEM WOMEN!
(NB: Leo niko kimaadili zaidi!)
naona yaliyomkuta makubwa!Nipo baba kabisa leo namgotea Xspin kabisaaaaa..... senksi alot for recognising my strength as a woman!!!! sijui mwenzetu kaamkia upanae upi coz naona aendelee tu kuamkia upande huooooooo
Thanks Shishi! Na wewe hongera kwa kuwa mwanamke mwenye heshima! Please be a good mama, hiyo ni heshima tosha sana kwa mwanamke!
HEHEHEHEHE!ooooooooooouchhhhh mmnh senksi alot my dear ( nani kakwambia mi ni mwanamke😀)
Nasikia kuna kamgomo baridi kananukia kwa wanawake, wakigoma kudo sijui itakuwaje?
deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?He! Kwakweli lazima nikiri ukweli, huu mchakamchaka umenitoa nishai! Itabidi nirudi nyuma nifwatilie posti moja baada ya nyingine! Hii inaonyesha jinsi wanawake wanavyoheshimiwa! Ntawagongeeni senksi mmoja baada ya mwingine si kwasababu ya yuziful posti mlizochangia bali kwa heshima ya wanawake ninaowathamini sana!
Mshukuru Mungu japo kwa hilo! Kusamehe na Kusahau ni karama ambazo mwenyezi Mungu amempatia mwanamke kwa asilimia nyingi sana ukilinganisha na mwanamme! Usicheke kwa huzuni Shishi, Mungu alikuumba mwanamke kwa mpango wake! Kusahau na kusamehe kutakupatia thawabu Mbinguni! Ole wetu sisi wanaume ambao hatujajaliwa hivyo vitu! Heshima kwenu Wanawake!
deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?[/QUOTE]
Fidel80
Chrispin kama kungekuwa na namna ya kugonga thanx mara nyingi leo nisingeongea ni thanx tu............mpwa kumbe ukitulia unamwaga vyoint eh? Aksante sana
Ana heri mwanamke uliyemuoa
Ana heri dada yako
Ana heri mama yako
Tuna heri wanawake woooote tuliobarikiwa kuwa karibu yako (hata ki -electronika)
naona yaliyomkuta makubwa!
INAONEKANA ALINUSURIKA KUIFUATA ILE NJIA YA MC-LEMA......!😀