deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?[/QUOTE]
Fidel80
mmmmh duh mechi za uswazi zimenielemea tatizo kubwa hilo
Nasikia kuna kamgomo baridi kananukia kwa wanawake, wakigoma kudo sijui itakuwaje?
Machangudoa watashangilia maana biashara yao itapata soko maradufu!
deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?
ni wote kuanzia beki tatu, kina eliza, mpaka first lady hapo ndio mtajiju
amenusurika kifo huyu!...deh deh deh! inabidi ule kiapo kuonesha kwamba kweli haya maneno ni yako, na hakuna mtu kaiba pasiwedi yako! leo nahisi gesti linapoteza mmoja kati ya maselebriti wake! majuzi alibadilika geoff, leo krispini ,who iz neksti?
Ningeshangaa kama maswali kama haya yasiyokuwa na kichwa wala miguu yakosekane???Tukio hilo uliliona kwa nani??
Kutongozana kunaanza,Currently Active Users Viewing This Thread: 21 (11 members and 10 guests) Chrispin*, Ambassador, chimunguru, Irizar, Kaitaba, Masaki, nyani<abiziani>, Preta, Tshala, Ziondaughter+
Mwingine mwenye heshima kubwa kwangu huyu hapa! Nakupenda sana ZD na nakuheshimu pia. Am proud of you na kila siku huwa namshukuru Mungu kunikutanisha na wewe! You are an angel!
ni wote kuanzia beki tatu, kina eliza, mpaka first lady hapo ndio mtajiju
atamtongoza mke wake?........Kutongozana kunaanza,
Hehehehe hawawezi wakigoma ni simple na sisi tunakata huduma unajua idadi kubwa ya wanawake wanawategemea wanaume kihuduma!?
kwani kwenu wapi?[/SIZE][/B]
Labda huko kwenu, kwetu huku wanawake wanamiliki miradi mikubwa na wanaendesha familia.
heshima kwa kinadada ni muhimu sana. bikozi kama sio mungu kutuumbia hawa viumbe kutupatia ile huduma muhimu nazani duniani pasingekalika. tungelibaka hata kuku wa kienyeji! hapa nasema senk god kwa kutuumbia hawa viumbe wapole,wakarimu,wenye vibody laini laini.Nimepata eksipiriensi jana! Hakika nilichokishuhudia sikuamini! Wanawake ni mashujaa! We dawa mseto huna heshima kwa wanawake? Nadhani unahitaji ban wewe!
Kutongozana kunaanza,
hahahaaaa, thats ALERT!.hehehehe!
unapateje strengsi?
wote si wanawake?
acha kumtania george porgie bana....!😀
muache aendeleze libeneke
hehehe!hahahaaaa, thats ALERT!.
nadhani baada ya project ya 13 FEBRUARY, then
I HEREBY DECLARE THE NEXT IS ME, seriously.
Una hakika ni mkewe??atamtongoza mke wake?........
we una hakika si mkewe?Una hakika ni mkewe??
hahahaaaa, thats ALERT!.
nadhani baada ya project ya 13 FEBRUARY, then
I HEREBY DECLARE THE NEXT IS ME, seriously.